Hawezi kukisoma huyu. Watu kama hawa hupenda story za Kanumba alifariki kisa Freemason, mfano ukileta taarifa ya daktari au forensics ikisema alisukumwa akaanguka akavuja damu kwenye ubongo akazimia na kufariki wanaiacha ikiwa na evidence zote za polisi, daktari na mahakama ila wanakubali story ya Freemason inayotungwa na jamaa aliyeishia la saba amevaa kanzu ametoa nakala za CD anauza. Humo wametajwa Jay Z, Papa, Obama na Kikwete eti ni wanachama.
Hawa level zao ni Story book kile kipindi cha Clouds sijui Wasafi, sio vitabu. Kuna maneno mtu akisema unaona huwa anapenda simulizi za aina gani