Nimemkumbuka Mh. Anne Makinda

Nimemkumbuka Mh. Anne Makinda

wakurochi

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2017
Posts
2,647
Reaction score
2,954
Katika siku ya wanawake, nimemumbuka pia Mh. Anne Makinda Spika wa kwanza mwanamke. Kwa jinsi bunge lilivyokuwa live na kujaa watalaam na ma nguli wa siasa toka enzi za TANU.

Mimi nilidhani angechemsha lakini utendaji wake ulionekana live bila chenga kila kona ya TZ na wengine wakilalamika kibano kimezidi.

Ukiachilia mbali ushabiki wa kisiasa, bunge lilikuwa na mvuto wake wakati huyu spika yupo kwenye kiti.

Namtakia kila la kheri.
 
Alikuwa dhaifu mno na haya yatupatayo sasa ni matokeo ya bunge lililopita kupitisha miswaada kwa hati ya dharula magu akajifunza hapo kuwa wa tz wanabuluzika tu anatubuluza hata sasa
 
Alikuwa dhaifu mno na haya yatupatayo sasa ni matokeo ya bunge lililopita kupitisha miswaada kwa hati ya dharula magu akajifunza hapo kuwa wa tz wanabuluzika tu anatubuluza hata sasa
Nikweli hàya yatupatayo leo ni mtokeo ya uppuuzi wa muda mrefu wa uongozi chini ya sisiemu mm na furahia haya yanayo endelea inchini Kwa sababu yatasaidia siku zijazo tutaacha upumbaavu sisiemu ndiyo ilikwamisha katiba Mpya wakidhani wanawakomoa wapinzani na kuimalisha kuimalisha mtandao wa ufisadi wao sasa maumivu yanalipata taifa zima
WALIO MAFISADI NA WASIO MAFISADI WALIO CCM NA WASIO CCM WALIO MATAJIRI NA WASIO MATAJIRI WALIO NA KADI ZA CHAMA NA WASIO NA KADI ZA CHAMA WALIO VIGOGO NA WASIO VIGOGO ,WANAUME NA WANAWAKE ila utashangaa watu wanamsifu kikwete dhidi ya aliyopo madarakani wakati mambo yanayo tokea Leo ni mavuno ya yaliyo pita
 
Mama Wa Watu Kina Mnyika Walimburuza Sana Kama Mtoto Leo Hii Katuli Kwake Tulia Mpaka Watu Wanasusa Bunge Na Wenyewe Ni Zamu Ya Kuburuzwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom