unakosea kabisa alikuwa ni mtaalamu tena mkubwa wa Computer, Mungu aiweke roho yake mahali pema, mpaka anakufa alikuwa na program yake nadhani ni ya Hospital management system na ilikuwa inatumika Hospitali ya Tumaini na Massana mara ya mwisho nakutana nae aliniambia alikuwa na mpango wakuongea na wenye mamlaka wizara ya afya ili awauzie hiyo programe, na alikuwa na programme nyingi saana anatengeneza´, Kifo chake kilikuwa cha gafla na alikufa akiwa kazini ( anafundisha Monduli) nasikia alikuwa ni mtu aliyekuwa anachapa kazi saana na kuna taarifa kwamba alikuwa analala ofisini