Nimemkumbuka lecturer wangu

Jenerali Ambamba

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2014
Posts
3,344
Reaction score
2,537
Wakati nikiwa chuoni, siku moja mwalimu wangu wa Family Law alikuja darasani, akiwa anafundisha, alitueleza kuwa, "Unaona hata hapa chuoni, watu wanaokunywa pombe, wanaovuta sigara, na kuvaa kihunihuni ndio mabinti wanaowataka na kuwapenda, lakini wale ambao ni smart na hawavuti sigara na pombe hawanywi mabinti hawawataki".

Nimeona leo tujadili hili swala, ni kwa nini mabinti wengi wakiwa vyuoni hupenda sana kutoka na wanaume hawa?
 
Sio tu vyuoni mpka sasa napenda kutoka na hiyo dizain...........
 
hawana stress wale! alaf wana true luv, na awe gangster kwel sio sharobaro wa kulamba lips!

wanawake weng ha2pend mwanaume mpole kuptilza, anakua boya....
 
Tena bora aliye waru waru, mvutaji, mnywaji anae vaa ovyo maana hizo ndo satrehe zake, sasa wale wanao kuwa wapole na smart hahahahah khatari sana yaani ni vicheche balaa na maanisha hakuna sketi itakayo mpita maana ndo starehe.
 
Tena bora aliye waru waru, mvutaji, mnywaji anae vaa ovyo maana hizo ndo satrehe zake, sasa wale wanao kuwa wapole na smart hahahahah khatari sana yaani ni vicheche balaa na maanisha hakuna sketi itakayo mpita maana ndo starehe.

Anayekunywa Nyagi ndiyo usiseme kunako mechi ya 6 by 6.
 
Hizo zote mbwembwe tu, siku hizi huna pesa hupati demu wa kueleweka. Fullstop
 

Sure mkuu
 
Mimi sijawahi kuwa na mtu wa namna hiyo ila ninavyowaona wanaume wa dizaini hiyo hawana maringo,dharau,ni wacheshi wanajichanganya na watu pia nahisi labda si watu wa kumaind mambo madogo madogo katika mahusiano ndio mana wanapendwa sana na wanawake.
 
ni waongaji wazuri na watoaji wazuri wa ofa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…