Nimemkosea rafiki yangu sijui nitamuombaje msamaha

Nimemkosea rafiki yangu sijui nitamuombaje msamaha

Nshukuru Kuona Kuwa Sasa Umerudi Na Umekaa Ktk Mstari Kwani Unaongea Sensible Issues Kuliko Pale Mwanzo Na Nafurahi Sana GENTAMYCINE Ninapowarekebisheni Na Hatimae Tunaenda Sawa. Sasa Naweza Nikabadilishana Mawazo Na Wewe Kwani Umeingia Relini. Haya Leta Stori Nichangie Ili Na Wewe Ufurahi Na Ujivunie Kuwa Leo Ulikuwa Ukichangia Mawazo Na GENTAMYCINE Na Si Ajabu Cv Yako Ikakua Kuanzia Leo. Mkuu Wewe Ni Lawyer Nini?

Vizuri Mkuu.
Mimi sio Lawyer
Ushauri wako ni Muhimu zaidi sababu huyu niliemkosea ni Ndugu wa karibu pia ni Rafiki , Nikiendelea kukaa kimya hatanielewa .
 
Umeshamwomba msamaha mara 7x70..... Kama tayari ni haki yake kukuchukia na simshauri akusamehe tena maana hata maandiko yanadhibitisha.
 
Habari,

Naombeni mnisaidie ni namna gani nitamuomba msamaha huyu rafiki yangu, nimemkosea kwa kweli wala sio mara moja sasa wakati huu kakataa kata kata kwamba atachukua uamuzi ambao mimi na yeye basi.Hapa nilipo sitamani chochote kutokana na msimamo wake.

Samahani mkuu.Ni kosa gani hilo kubwa ulilomtendea mara ya kwanza ukaomba msamaha akakusamehe?na hili kosa ulilomtendea tena kwa mara nyingine ni kama lilelile la zamani ulilomtendea au ni kosa jingine tena zito??
 
Habari,

Naombeni mnisaidie ni namna gani nitamuomba msamaha huyu rafiki yangu, nimemkosea kwa kweli wala sio mara moja sasa wakati huu kakataa kata kata kwamba atachukua uamuzi ambao mimi na yeye basi.Hapa nilipo sitamani chochote kutokana na msimamo wake.

Best kwangu mimi binafsi huwa kukosewa naku-categorize kwa basis mbili

Namba moja ni pale unapomkosea mtu kwa makusudi..unajua kitu unachotaka kukifanya ni kibaya kwake, then ukiwa na akili timamu unaamua kukifanya kwa sababu unazojua na huku unajua ataudhika.

Namba mbili ni pale unapomkosea mtu bila kudhamiria na bila kujua kuwa atakwazika na bila kuhusika kwa uzembe kwa upande wa mkosaji.

Kwa upande wa hili la bahati mbaya kuomba msamaha hata mara kumi ni jambo la kawaida na anayeombwa msamaha akiconsider kuwa you didnt set out intentionally to hurt him/her kwa vyovyote atasamehe tu. sanasana atakusihi uongeze umakini in the future

Kwa suala la kumkosea mtu makusudi hapo naamini msamaha inabidi utolewe mara moja..mara ya pili uandamane na resolution kwamba ukaribu wenu hauna tija kwa hiyo msamaha utolewe na urafiki ufe..to be on the safer side na kwa mutual faida yenu nyote wawili.

Jipime matatizo yako na rafiki yanaangukia wapi then act accordingly
 
Back
Top Bottom