Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,371
- 14,481
kwanini isiwe hapa mkuu?.Peleka Facebook.
kwanini isiwe hapa mkuu?.Peleka Facebook.
Sasa nisipomuomba msamaha si atasema nilikusudia.?
Hivi chalii una miaka mingapi kwa mfano?
Peleka facebook kama hutaki kufunguka huku tunajadili vitu vilvyokamilika mfyooooo[/QUOTE
Sikiliza mkuu usikariri tu bila fact nani kakuambia facebook hakuna vitu venye maana au mantiki.?
42Years
Thats number aisee ..ila inaonekana kama una miaka 13 hivi
kama hujui mbona uliuliza?
Naomba Kujua Jinsia Yako Kwanza Isije Ikawa Naongea Na Mtu Aliye Ktk Heat Haswa Ukizingatia Tarehe Zenyewe Hizi Za Yai Kupevuka.
Jaribu kuweka wazi mkuu..ni urafiki gani huo..maana tunashindwa kukusaidia..the same gender or opposite..funguka kidogo usaidiwe!Tatizo ndio hilo nimeshamkosea tena na alinisamehe sasa nimemkosea tena nashindwa nianze wapi!
Jaribu kuweka wazi mkuu..ni urafiki gani huo..maana tunashindwa kukusaidia..the same gender or opposite..funguka kidogo usaidiwe!
hana smart phone!
Naona Unaomba Msaada Tutani Hapo! Kila La Kheri.
kwani kuperuzi JF hadi uwe na smartphone pekee...
lazima niombe msaadq maana unajua fika kuwa maneno uliyotumia hayaeuhusiwi. Ile Sheria ya Mitandao iliyopitishwa inakuhusu mkuu.
Imepitishwa Bunge Lipi? Chini Ya Katiba Ipi / Gani? Hii Ya 1977 au Inayopendekezwa? Kama Imepitishwa Kwa Ajili Yangu Basi Najivunia Kujulikana Hadi Na Watunga Sheria Wa Nchi Hii Na Nimefarijika Mno.
Katika Baadhi ya Utunzi wa Sheria ikiwemo vyombo vya Habari iliyofanyiwa marekebisho katka Bunge mwaka huu na Sheria hii ya Matumizi mabaya ya Vyombo vya Habari itaanza kutekelezwa hivi karibuni.
back to the topic