Nimemkosea rafiki yangu sijui nitamuombaje msamaha

Nimemkosea rafiki yangu sijui nitamuombaje msamaha

Alvin Slain

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2011
Posts
6,375
Reaction score
3,665
Habari,

Naombeni mnisaidie ni namna gani nitamuomba msamaha huyu rafiki yangu, nimemkosea kwa kweli wala sio mara moja sasa wakati huu kakataa kata kata kwamba atachukua uamuzi ambao mimi na yeye basi.Hapa nilipo sitamani chochote kutokana na msimamo wake.
 
Weka mambo vzr...ni urfk gani unaongelea...jinsia gani
 
Mmmh kama umemkosea Mara kwa Mara na akakusamehe huoni akikusamehe tena utarudia... mtu anaejutia kosa alilofanya hawez kulirudia tena makusudi.
 
Mmmh kama umemkosea Mara kwa Mara na akakusamehe huoni akikusamehe tena utarudia... mtu anaejutia kosa alilofanya hawez kulirudia tena makusudi.

Tatizo ndio hilo nimeshamkosea tena na alinisamehe sasa nimemkosea tena nashindwa nianze wapi!
 
Kwa sbb umeshindwa kujirekebisha mara zote acha tu maana utamkosea tena....siyo lazima uwe rfk yake...ujirani unatosha...
 
kufanya kosa siyo kosa, kurudia kosa ni Mazoea na dharau....Give it a time atarewaindi what goods from you and come back.
 
Kwa sbb umeshindwa kujirekebisha mara zote acha tu maana utamkosea tena....siyo lazima uwe rfk yake...ujirani unatosha...

Sasa nisipomuomba msamaha si atasema nilikusudia.?
 
Kamata Simu Yako Kisha Tuma Neno PENDO Kwenda 155....Mambo Yatarudi Ktk Mstari. Kwa Mengi Zaidi Sikiliza Magic FM Upewe Maujuzi Zaidi.
 
Weka mambo vzr...ni urfk gani unaongelea...jinsia gani

Huyu bado mtoto mkuu asikuumize akili pengine anamaaniaha mpenzi ikiimuliza anaona aibu kusema anaweza kukwambia ni mtu wangu akimaanisha mpezi na mama ni rafiki kama rafiki basi dogo tabia siyo shwari.
 
Back
Top Bottom