Kuna afande anitwa morani pale Mtabila 825 kj huyu jamaa alikuwa anaimbisha sana kwa hisia na sura yake mbaya undifined ya masikito sio ya masikito ya bangi sio ya bangi Ila bangi alikuwa anavuta na tulikuwa tunamwona sana
Sema nini alikuwa peace sana mambo ya kuzingua kuruti hakuwa nayo alikuwa mshikaji kwa kila MTU
Ewiiiiii............
Yanyukweeee..........
Daah, salam wakuu! habare za weekend? kwa wale wa mambo yetu yaleee watakua wanaelewa namaanisha nini hapa. haya basi mtaalam mmoja wa chenja aweke kitu basi tusuuze nyoyo zetu!