Nimemharibia rafiki yangu ili niwe na mpenzi wake

kumharibia mwenzako ni kitu cha maana cha kuzungumza? je wewe ungefanyiwa hivyo ungejisikiaje?au unafikiri wewe ndiyo mtu mzuri sana unayeweza kumfurahisha huyo msichana? upuuzi tu? jipime kwenye mizani yako mwenyewe maana kwenye mizani yangu umepwaya sanaaaa ...utoto au rubbish? watu hujisifia mambo ya maana siyo hayo??????
 
We jamaa iaelekea domo zege kweli,yani unamponda msela kwa demu wake waachane ili ww umchukue?ndoroooobo ww hata ukiachana na huyo demu usitegemee kwamba uhusiano wako na msela utakuwa kama awali.
 
kumharibia mwenzako ni kitu cha maana cha kuzungumza? je wewe ungefanyiwa hivyo ungejisikiaje?au unafikiri wewe ndiyo mtu mzuri sana unayeweza kumfurahisha huyo msichana? upuuzi tu? jipime kwenye mizani yako mwenyewe maana kwenye mizani yangu umepwaya sanaaaa ...utoto au rubbish? watu hujisifia mambo ya maana siyo hayo??????

sasa nani kajisifia???
 
We jamaa iaelekea domo zege kweli,yani unamponda msela kwa demu wake waachane ili ww umchukue? ndoroooobo ww hata ukiachana na huyo demu usitegemee kwamba uhusiano wako na msela utakuwa kama awali.

basi ngoja niendelee nae tu.
sema ngoja nicheke kwanza coz umenichekesha hahahaaaaaaaa
 
Rafiki ni zaidi ya ndugu mm huwa sidhubutu kugombana na marafiki zangu kisa mwanamke so stupid kwa kweli bora ungelshauri achane nae tu sio kumchukua ww umeshapandikiza uwadui
 
najua rafiki ni zaidi ya ndugu kama urafiki wenu utakuwa umekomaa na kupata kiini.
 
halafu hii mi JF mingine sijui imetoka wapi ?
talking stupidity forcing us to know that you are STUPID !
khaa.
 
Inamaana nawe ulikosa kabisa wa kwako mpaka uanze kutamani wa rafiki yako? kama ulitambua urafiki wenu ni muhimu why uanze kumtongoza demu wa rafiki yako. Nakushauri acha hiyo tabia coz next time unaweza ingia pasipoingilika yakakukuta makubwa.
 
i think stupid person hana utofauti/anazidiwa kidogo na Murder.
That's my simple way to insulte u.
thank u for u'r comment.
 
Inamaana nawe ulikosa kabisa wa kwako mpaka uanze kutamani wa rafiki yako? kama ulitambua urafiki wenu ni muhimu why uanze kumtongoza demu wa rafiki yako. Nakushauri acha hiyo tabia coz next time unaweza ingia pasipoingilika yakakukuta makubwa.

asante mkuu.
 
Back
Top Bottom