Nimemfumania Mchepuko wangu usiku huu anajichua

Tuna siku ya 4 hatuonani na hatusemeshani na Mchepuko Wangu mamaJ kajinunisha. sijajihangaisha sana kumbembeleza wala kuyamaliza maana kisa chenyewe hakina KICHWA wala miguu (Kuna Uzi wake nauandika taratibu, ntauleta humu).
Pole sana mkuu , kua na mchepuko ni dhana nisiyo iunga mkono kabisa , ila umefanikiwa kuziteka hisia zake kiasi cha kwamba anakuheshimu kwa kujihudumia mwenyewe mpaka penzi lenu litakapo kua sawa
NB.

Umeonyesha wewe ni mwanaume dhaifu sana , huwezi kupoteza muda wa kujenga familia yako halali kisa mwanamke ambaye sio wako , yani unakaa kabisa unasikiliza mtu anaongea na ndugu zake , anaenda chooni no no no

Fanya mambo ya msingi kama zamani ulivyokua unafanya mpaka ukapata familia yako
 
Natumia MDA Wangu wa kureflesh ambao nakua nmeshatoka kazini.

Nisingekua kwake ningekua bar na marafiki, Sijazoea kurudi nyumbani mapema Mimi.
 
Ha ha ha....Naomba Sana isitokee.
Yaan Kwa Ile miguno,kuvuta pumzi, kuhema na mtikisiko ule wa kitanda, Kama ndo ningekua nmefika.

Lazima Ningehitimisha kua yuko na Mwanaume mle ndani wanafanya mapenzi
Subiri siku yako yaja nakwambia havina muda 😀😀
 
Back
Top Bottom