excel
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 22,434
- 17,862
anaongea american english... Dont bother.
Huhuhuhuuu! ok meen! let me shake someone's boob here!
its about time you know..
anaongea american english... Dont bother.
haya wee myukrein unetungua ndege ya chuma ya nini? Bora ungetungua kwale au jorowe watu wakala.
Hakuna nyeti kuliko nyeti hizo, na ukitaka kujua ni mbali tizama kiuno kinavyohangaikia kufukua
pambafffffffff, nilidhani umekuta anapigwa paipu.
pambafffffffff, nilidhani umekuta anapigwa paipu.
I'm men mkuu
pambafffffffff, nilidhani umekuta anapigwa paipu.
wewe jinsia ipi?
pambafffffffff, nilidhani umekuta anapigwa paipu.
Akili za hawa vijana zimeharibiwa na viroba na BRN,ndiyo maana hawawezi kuwa na reasoning hata kwenye mambo mepesi kama haya.Wakuu habari za usiku huu. Samahani mimi ni mgeni kwenye jumba hili, ila kuna hiki kisa leo kimenisikitisha kidogo. Mimi sijaoa ila nina mpenzi wangu ambaye tunaaminiana sana na tumeahidiana siku moja tuishi pamoja. Leo jioni mpenzi wangu alinitembelea hapa kwangu. Wakati anakuja alinikuta napika maakuli ya jioni nikiwa nafuraha kuwa nimetembelewa na wangu wa moyo. Katika pilika za kupika, mpenzi wangu akaniambia nataka nikaoge maana nilikotoka sina uhakika kama nitakuta maji bado yanatoka halafu sijakinga. Nikamwambia haina shida we ingia room chukua tauro then uoge. Mi nikaendelea kupika. Baada ya dak kama tano akiwa bafuni nilipigiwa simu na mdogo wangu mmoja iv wa kiume tukawa tunapiga stori mbili tatu huku naandaa chakula. Bila mimi kufahamu kumbe mpenzi wangu ameshatoka bafuni badala ya kwenda sebureni au kuja jikoni kunisaidia kupika kumbe kajificha sehemu anasikiliza mimi naongea na nani bila kufahamu mimi nilikuwa naongea na mdogo wangu tena wakiume. Kuna kitu nikawa naenda kuchukua sebuleni, ghafla nilivotoka chumbani kuelekea chumbani nikamfuma mpenzi wangu kajibanza kwenye ukuta anasikiliza kwamakini naongea nini. Basi mimi nilivomuona nikapretend sijamuona na nikaendelea na safari yangu ya chumbani huku naongea na simu lakini nacheka sana kimoyomoyo. Sasa ninachijiuliza, je mpenzi wangu haniamini, ananilinda au ananifatilia?! Na pia je yeye sio mchepuko na ndio maana anahisi na mimi ninachepuka?! Naombeni uzoefu wenu wakuu mimi ni mgeni jamani...
unasound very local,, too looocallll,, kama umeigiza ku sound hvi basi we ni talanta.
Ata mimi aise.pambafffffffff, nilidhani umekuta anapigwa paipu.
i'm 2 in one.