Pedra buyer
Member
- Apr 26, 2015
- 97
- 32
chakula kinakua kitamu, ni wengi tunafanya hivo japo ye kazidi
wengine twavaa madera bila vyupi
usiwaze.....
Naombeni ushauri Wa haraka jamani.nimemkuta mke wangu anapika uchi,kama alivyozaliwa.Sijui kwa sababu gani na kwanini afanye hivyo.
Chunga sana hiyo maneno Mkuu utajikuta unalambwa ban.Tuma pc tumuone,,, au kama umemkuta uchi ujue anataka kutombwaaaa
joto ndo upike uchi??Hujui kama kuna Joto au basi tu
KWani hamuaminiani na mkeo??au mna tatizo lolote linaloweza kupelekea kumhisi vibaya??
yawezekana ni mapozi tu binafsi hua najikuta nafanya shughuli za nyumbani nikiwa na kichupi na brauz au tshrt