Nimemfuma anapika chakula akiwa uchi jikoni

Nimemfuma anapika chakula akiwa uchi jikoni

KWani hamuaminiani na mkeo??au mna tatizo lolote linaloweza kupelekea kumhisi vibaya??
yawezekana ni mapozi tu binafsi hua najikuta nafanya shughuli za nyumbani nikiwa na kichupi na brauz au tshrt
 
yawezekana alikuwa bafuni akakumbuka Luna kitu ameinjika jikoni,au amesikia harufu kinaanza kuungua akaamua akimbie asije kuunguza NYUMBA!( Jana tu NYUMBA imeungua buguruni so KWA Siku mbili tatu hizi tutakuwa waoga sana)! na kama humo ndani hamna watu KWA muda huo unaweza tu kukimbia kuwahi jikoni usiunguze NYUMBA! Take it easy!
 
Tatizo nn au kosa liko wapi hakuna sheria ya nchi inayokataza dini yoyote inayopinga hilo km vp cku nyingine ukiona hivo piga picha peleka kwenye kupatana.com amanenee wateja tutatiririka tu kk.
 
Naombeni ushauri Wa haraka jamani.nimemkuta mke wangu anapika uchi,kama alivyozaliwa.Sijui kwa sababu gani na kwanini afanye hivyo.

Muulize sababu kabla hujakimbilia mtandaoni kuripoti habari za mkeo. Halafu inaonekana huyo mkeo kakuwowa wewe. Mwanaume gani unashindwa kuchukua maamu na badala yake unakuja kulialia humu?
 
KWani hamuaminiani na mkeo??au mna tatizo lolote linaloweza kupelekea kumhisi vibaya??
yawezekana ni mapozi tu binafsi hua najikuta nafanya shughuli za nyumbani nikiwa na kichupi na brauz au tshrt

Ulileleea vibaya wewe. Mwanamke anayejitambua hawezi fanya huo ujinga labda awe hazimtoshi.
 
Back
Top Bottom