MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,596
Toka juz namwomba chakula ya ndoa ananinyima kwa madai anaumwa,lakini kazi nyingine anafanya, nimeona ananifanyia kusudi.
ya kwenda wapi?MIREMBE Hawatakidhi kiwango cha ugonjwa wake.Aombe RUFAA ZAIDI.
Toka juz namwomba chakula ya ndoa ananinyima kwa madai anaumwa,lakini kazi nyingine anafanya, nimeona ananifanyia kusudi.
Hodari sana weweeeeeeeeeeeee!!!!