MAMAYAKE B
Member
- Sep 18, 2013
- 17
- 7
Halafu hili nili aunt nanii....
Halafu hili nili aunt nanii....
Kila siku mume wangu anachelewa kulala kisa JF,sasa nimejiunga kufuata nyayo zake,tukilala usiku utasikia anaota anataja taja majina ya watu,mara Lara 1,Madame B,Evnly salt,AshaDii,
*WasiWasi ndo Akili*
kwann mnang'ania vtu vya watu ingali JF kumejaa ma cngle boy kbao au ndo ile kauli ya gari tupu halipandwi inashika hatamuSawa MAMAYAKE B Bishanga tumekusikia ila mumeo ukiwanae akiwa jf ni mume wetu sote
aote na yeye haya watoke droo mwigulu nchemba,chibuda,nape nnauye,john komba,job ndugai ,daah unamoyo mgumu sana ndugu yangu, sasa wewe utaota majina gani ili iwe ngoma droo????