Tudai Haki JF-Expert Member Sep 26, 2011 315 80 Oct 25, 2011 #1 Nimekuwa nikiwasoma humu kwa mwaka ss ila nilishndwa kujiunga cjui tatzo ni hka kasim maana leo nimekja mjn ndio nimekrbshwa kuptia kalaptop. jiandaeni kula vya shamba
Nimekuwa nikiwasoma humu kwa mwaka ss ila nilishndwa kujiunga cjui tatzo ni hka kasim maana leo nimekja mjn ndio nimekrbshwa kuptia kalaptop. jiandaeni kula vya shamba
Donnie Charlie JF-Expert Member Sep 16, 2009 15,167 16,257 Oct 25, 2011 #2 karibu sana mjini ila JF ipo popote ambapo mtandao upo
Didia JF-Expert Member Nov 9, 2010 719 258 Oct 26, 2011 #7 Utambulisho tu unaonesha ni mpenda haki. Karibu tudai demokrasia ya kweli
OTIS JF-Expert Member Sep 7, 2011 2,251 828 Oct 27, 2011 #14 Karibu mkubwa. Haki yako i shambani OTIS.