tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,894
- 19,775
Pole sana kila familia inamatatizo yke umevumilia miaka yote umeweza,msamehe mama ukija kua n family yko utapata faraja ambazo wazazi hawakukupa weweasante.hakuolewa na baba.baba alikua na familia tayari ndo akawa na mahusiano na mama.may be so
yap.changamoto tu za maisha.ukija sehem kama hii.watu watakushauri, wengne kukupa moyo.so najiskia amani kutoa yaliyoko moyoni na kuona watu wanapata hata dakika ya kukujibu.Mambo mengne swez mwelezea mtu kama unavyoona hata mamangu siwezi so hapa angalau napata faraja japo kuna changamoto pia.pole..Imebidi tu nirudi kwenye profile yako kusoma thread za nyuma.Una majanga/masahibu si kidogo...
dah pole sana seems mama mdogo alifanya makubwa katika masiha yako, nweis kashakua mzaz wako hakuna namna yoyote ya kubadili hilo ulipotoka ni mbali na umebakiza hatua chache kuanza maisha yako mwenyewe so ione kama kwaida utakuja tu kuish maisha yako.hapana..mama mdgo hajawah kuzaa she had sickle cells.alikua akipata hela kdgo alikua ananipa na kunisii nisome kwa bidii.alikua hana kazi alimtegemea mama pia na alikufa mdgo tu akiwa na 25years.This makes me cry
[emoji23] [emoji23] kuna watu wamepinda!Jamani mimi uvumilivu wa kufanyiwa mambo ya kipuuzi sina na siangalii umri wala mtu,mungu ndio anahukumu kwa haki mimi mama yangu ananijua namuheshimu lakini akiniletea habari za ajabu ajabu namchana laivu kinoma noma na kwakua anafanyaga kweli makosa au kunikosea hua anaelewa na baadae tunaanza kuongea vizuri.Ila sasa hivi ameacha maana ameona hazinitoshi,na angeleta habari za kunimwagia radhi ningemrekodi na kushare kwenye wasap ili dunia nzima imchungulie
NB;mzazi akikosea harafu ukamwambia ukweli akakasirika na kukuvulia nguo usipate tabu wala usiwe na wasi wasi we mrekodi harafu share kwenye wasap ili achunguliwe dunia nzima maana atakua anataka kuchunguliwa
nashukuru sanaHabari, pole saana kwa mkasa huo very touching and sad ila nikuambie kitu au ushauri wangu, wewe vumilia isi kuumize kichwa chukulia ni changamoto ya maisha kila mtu ana shida zake au mzigo wake,mfano wewe unalia hivyo ila mwingine anatamani angekua hata position kama yako maana una umesomweshwa, na nyumbani una lala kwake nakula una kula, watu wako mitahani awana baba wala mama kula kwa shida wanakula majajarani,huyo mama anakupenda tuh wewe ujui na iko siku atakupatia ulicho kua unataka from now where.ila masimango yapo wa swahili wana sema maneno hayaui wewe ya chukue ya ufanye ya kujenge. pili huyo ni mama yako msamehe bure usimchukie usichukie ame beba mimba miezi tisa, mpaka amekuza, na mpaka ukafikia hapo so nikushukuru tuh yaani huo ni mtihani dot fail have faith.kila anapo kusimaga labda unaona hivyo wewe shukuru muungu daraja lako linaogezeka, dada pepo yako iko chini ya wazazi wako wa wili baba na mama so una jinsi hata mama angekua mchawi vipi still ni mama yako na ukifanya chochote against kwa mungu unalo, unless akukataze mambo ya ibada hapo ndo unarusiwa kua against.otherwise kua mpole mpaka utapoolewa hapo sasa pepo yako inamia kwa unyao wa mumeo mpende mumeo muheshimu,huo ni mtihani mdogo.
sawa asanteNashukuru Mungu kwa yote ambayo mama yako amekufanyia haswa kukuelimisha hadi chuo kikuu pengine anafanya hivyo kutokana na status quo,hao wenzako wana Baba yao,wewe Baba yako hana mpango na wewe kama umemaliza chuo jitahidi upate cha ili uwe na maisha yako hayo mapungufu uliyoyasema yasikufanye umchukie mama yako,yatumie kama fursa ya wewe kutoka hapo ulipo kupata matokeo chanya.Epukana na kujirahisisha kwa wanaume kutokana na hali hiyo manake kufanya hivyo ni sawa na kujaribu kuzima moto kwa petrol.
Okay thankyu so muchPole Sana mkuu... Kupata kazi ni suala la Muda tuu, endelea kumuomba Mungu, muombee na mama pia, I can see she loves you ila hataki kukuonyesha,zawadi ya elimu aliyokupatia ni ya thamani sana japo hana affection na wewe atabaki kuwa ni mama tuu. Pole