NIMEMALIZA KRISMASS YANGU hivi

NIMEMALIZA KRISMASS YANGU hivi

Status
Not open for further replies.
Kuna "too" hapo? au unaona nyota nyota?

quote_icon.png
By FaizaFoxy
JF hunikosi religiously.

Nimekuuliza swali simple sana tangu kwenye post #5, lakini badala kujibu unaleta ngonjera nyiiingi. Nakuuliza tena, wewe ni religious sana?
 
Tukisema sikukuu ya kishetani na kipagani mnakataa, sikukuu ya Mungu unaweza fanya huo ufuska?

Hivi we mama sijui mbibi unataka kusema hata hiyo sikukuu ya iddi au kiislamu watu huwa hawafanyi maovu na machafu mangapi tunayaona wakifanya tena tunakaa nao hapahapa mtahani na unakuta kajitutumua kufunga siku 30 zote. Lakini siku ya sikukuu anayofanya ni aibu tupu je naye atakuwa anasherehekea dini ya nani naomba unijibu..??
 
Hii ni sikukuu ya kipagani au unataka ushahidi?
 
Mimi nataka jibu hiyo sikukuu ya iddi hao wanofunga hawafanyi maovu na ufuska huko club na mabeach nao wanasherehekea dini ya nani..?? Najua unayaona sana tena sana tu. Nipe jibu langu .
 
Hii ni sikukuu ya kipagani au unataka ushahidi?

Mimi nataka jibu hiyo sikukuu ya iddi hao wanaofunga hawafanyi maovu na ufuska huko club na mabeach nao wanasherehekea dini ya nani..?? Najua unayaona sana tena sana tu. Nipe jibu langu kuwa hiyo dini wanayosherekea hivyo ni ya nani ??? Au unataka nikuletee matukio hapa ya sikukuu ya iddi machafu yanayofanywa na hao waumini wenzako..???
 
Nimekwambia hii ni sikukuu ya kipagani au unataka ushahidi?
 
Tukisema sikukuu ya kishetani na kipagani mnakataa, sikukuu ya Mungu unaweza fanya huo ufuska?

huyu mtoa mada muhuni tu na inawezekana mmetuma nyie aje kudhalilisha imani isiyomuhusu.
 
Na wengine wanavyovunja jungu kabla ya mfungo tusemeje?? Ufuska ni tabia ya m2. Hata ckukuu za eid kuna wanaofanya ufuska pia
 
Mimi nataka jibu hiyo sikukuu ya iddi hao wanaofunga hawafanyi maovu na ufuska huko club na mabeach nao wanasherehekea dini ya nani..?? Najua unayaona sana tena sana tu. Nipe jibu langu kuwa hiyo dini wanayosherekea hivyo ni ya nani ??? Au unataka nikuletee matukio hapa ya sikukuu ya iddi machafu yanayofanywa na hao waumini wenzako..???
Usibishane sana na hawa watoto wa "mama mdogo" kwasababu kila aina ya uchafu unatoka kwao, kama unabisha wewe soma wanapokamatwa majambazi, mashoga au malaya asilimia 90 hua ni "watoto wa mama mdogo".
huyu mbibi ni too religious.
 
Na wengine wanavyovunja jungu kabla ya mfungo tusemeje?? Ufuska ni tabia ya m2. Hata ckukuu za eid kuna wanaofanya ufuska pia

Naona hauna hoja una viroja, nasema hivi, krismasi ni sikukuu ya kipagani, sasa wewe sema, unataka ushahidi au la?
 
Hiv nyie kwenye sikukuu yenu ya eid ambavo huwa mnakula kitimoto inakua imeruhusiwa?

Wewe soma tena post yangu, siongelei kitimoto naongelea kuwa hii ni sikukuu ya kipagani. Unachopinga nini? kuwa siyo ya kipagani au vipi?
 
huyu mtoa mada muhuni tu na inawezekana mmetuma nyie aje kudhalilisha imani isiyomuhusu.

Huwa hatufanyi hivyo kabisa, kama ni muhuni ni yeye, sisi hatutumi wahuni na wala hatuna haja ya kudhadhalisha mtu.
 
Wewe soma tena post yangu, siongelei kitimoto naongelea kuwa hii ni sikukuu ya kipagani. Unachopinga nini? kuwa siyo ya kipagani au vipi?

Ninachokipinga ni nyinyi kula kitimoto siku ya eid,uko hapo?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom