MstahikiMeya
JF-Expert Member
- Jan 8, 2014
- 1,633
- 561
Tukisema sikukuu ya kishetani na kipagani mnakataa, sikukuu ya Mungu unaweza fanya huo ufuska?

kama mimi na ww kipenz [becky]😀😛
Tukisema sikukuu ya kishetani na kipagani mnakataa, sikukuu ya Mungu unaweza fanya huo ufuska?
Tukisema sikukuu ya kishetani na kipagani mnakataa, sikukuu ya Mungu unaweza fanya huo ufuska?
Tukisema sikukuu ya kishetani na kipagani mnakataa, sikukuu ya Mungu unaweza fanya huo ufuska?
kwa mara ya kwanza nimelazimika kujibu post yako,ina maana umeamini kua huyo pichani ndio mtoa mada?kwa nini umejumuisha kua wote tunaohusika na sherehe hii ni mashetani?hii ni zaidi ya chuki kwa dini ya wenzako.
Wewe ni religious sana? Nauliza tu.
Hiyo ni tabia ya mtu.. Huezi generelise kuwa ni sikukuu za kishetani mana hakuna dini inayohubiri maovu, kams unadhani kuwa wa dini fulani ndo utaiona pepo jaribu kutenda maovu na siku ukifa ndi utajua..
JF hunikosi religiously.
Ungekemea kama huafikiani nayo na si kunilalamikia mimi, mimi sikubali huu ushetani uliowekwa hapa uhusishwe na kuzaliwa kwa Mtume Yesu.
Wewe kama unaamini hiyo ni sikukuu ya Mungu wako usingekubali ufuska ufanyike na utangazwe kwa jina la sikukuu ya mungu wako na wewe ukae kimya na kuchekelea.
Soma heading.
heading nimeisoma,ni maamuzi ya mtu binafsi,wewe ndio ulitakiwa kukemea na sio kujumuisha sikukuu yote,mbona hata baada ya mfungo baadhi ya watu wanasherehekea kwa ngono?Na sisi tuseme eid ni sikukuu ya kishetani?