Nimemaliza dozi ya Malaria ALU Leo ,je kesho jioni naweza kula bia?

Sigara Kali

JF-Expert Member
May 28, 2017
3,623
8,428
Salaam waungwana?

Kama mada inavyojieleza

Nilikua katika dozi ya malaria nilikua natumia dawa mseto almaarufu ALU

Sasa dozi ndo nimemaliza Leo na hapa nilipo Nina kiu mbaya

Sasa nauliza je kesho jioni naweza kunywa bia? Au kuna madhara yoyote naweza kupata nikigida angalau balimi chupa 5??

Msaada tafadhali wa kitaalam.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom