Nimemaliza Degree ya Education, naweza kufanya Postgraduate ya Computer Science?

Elishachupa

Member
Apr 26, 2021
15
5
Habarini wakuu naomba msaada

Nimemaliza Degree ya Education masomo ya Physics na Computer Science. Je naruhusiwa kufanya Post Graduate ya Computer Science maana me Ualimu siuwezi, nimesoma coz 11 za computer science
 
Ni wewe tu na muda wako na mshiko wako na juhudi yako. Keep it up!!! Computer Science ni keki ya moto. Usikute wewe ndiye our first Tanzanian Bill Gates na kwamba utakuwa mgunduzi wa application kubwa zaidi za AI na kusaidia katika cybersecurity. Ila tu usije kumtalakisha Melinda wako kama mwenzio, sawa? :)
 
Habarini wakuu naomba msaada

Nimemaliza Degree ya Education masomo ya Physics na Computer Science. Je naruhusiwa kufanya Post Graduate ya Computer Science maana me Ualimu siuwezi, nimesoma coz 11 za computer science
Kachukue degree ya ubunge- hela nyingi tu bila kufanya kazi. Kazi yao ni kusifia mama na Mungu kila siku. What a job!
 
Habarini wakuu naomba msaada

Nimemaliza Degree ya Education masomo ya Physics na Computer Science. Je naruhusiwa kufanya Post Graduate ya Computer Science maana me Ualimu siuwezi, nimesoma coz 11 za computer science
Kozi yenyewe ipo lakini?
 
Habarini wakuu naomba msaada

Nimemaliza Degree ya Education masomo ya Physics na Computer Science. Je naruhusiwa kufanya Post Graduate ya Computer Science maana me Ualimu siuwezi, nimesoma coz 11 za computer science
Ndio, nenda pale University of Dar es Salaam, Mathematics Department. Kozi inaitwa Postgraduate Diploma in Scientific Computing.
 
Nenda pale ikulu, bado hsjamaliza kuteua nafasi katika Wilaya. Inabidi usome kusifia mama na Mungu kila sike. Na uwe na akili ya kuku au mbu! Good luck and all the best for the future.
 
Back
Top Bottom