aye
JF-Expert Member
- Oct 6, 2010
- 2,102
- 708
Yamenikuta jana nimepaki gari mapema kabisa nimeingia zangu ofisini kufika lunch natoka nakuta gari limefungwa kwa kosa la kuoshwa katikati ya jiji sijamtuma wala kumwambia mtu aoshe yaelekea hawa jamaa wa parking wanakula na hao vijana waoshaji kwakweli muwe makini mpakipo magari maana ni mchezo huu unachezwa.
Kwanini hawakamati waoshaji zaidi wanakamata magari? au kwanini wasikamate gari na muoshaji wote walipe faini mana wanajua kwamba ni kosa kuosha gari na mwenye gari anajua pia ni kosa napokuja napaki zangu naondoka wale vijana wana lazimisha kuosha ili ukirudi umpe chochote , akikutwa yeye hana hasara hafanywi kitu mwenye gari ndo anaingia hasara ya kulipa.