Nimelipa deni lakini kwa uchungu mkubwa

Nimelipa deni lakini kwa uchungu mkubwa

watu kama ninyi ndio mnaongeza rate ya umaskini TZ !!!
kwanini uhudumie kwa maden..kama huna, si angesubiri mpaka utakapopata hela???
Wanaume wengine ni mizigo katika mahusiano!
 
kwani mwanamke hana kitu kingine zaid ya k, chenye kumfanya mwanaume ajione amelipiza gharama zake?
Kwanini wanawake ,dushe kwao sio ishu kama mali alizonazo mwanaume?
Hii kasumba inaniudhi sana!!

Mkuu cha kwanza K vingine nyongeza tu
 
Chukulia kama umetoa sadaka. Better still, kama umemsaidia mwenye uhitaji na huo uchungu utaisha.
 
siku hizi waweza fanya jambo na mpenzio huko unakuja kuta lishafika jf

mengine muwe mnabaki nayo..for you
 
watu kama ninyi ndio mnaongeza rate ya umaskini TZ !!!
kwanini uhudumie kwa maden..kama huna, si angesubiri mpaka utakapopata hela???
Wanaume wengine ni mizigo katika mahusiano!

sema tu hujawahi kupenda mkuu, ipo siku utakuja kutoa ushuhuda HAPA.
 
Back
Top Bottom