ndio maana nikasema ni long story sema nimeifupisha
Btw Huyu alikua mpangaji mwenzangu nilivyokua college maeneo flani..
I swear kama ungekua jirani au shoga yake ningesema wewe ndio unamshauri maana majibu yake ndio kama yako.
" Hii ni starehe kama starehe zingine na wewe ukitaka vuta".
Btw mi sina neno.. tatizo mimi najifanyaga ticha nkirudi kwenye mishe zangu huwa kuna madogo wa advance nawapiga kitabu.
Inaonyesha ulikuwa tayari umelikoka kabla hata ya chai..
Natumia iFone...
hahaha..haya banaLol!!!!!!!!!!!!!! Mean za wife wake,,,,,,,,,,,,
Habari wana JF, Shikamooni wana MMU.
The beautful wife of mine smook weed.
Jamani juzi kati nimembamba mke wangu akiwa analipuliza. Tena alipo niona wala hakushtuka
kwa mapoozi akaendelea kulikoka.. ahh! mi nikazani sigara kwani huwa anapiga siku moja moja
anadai inaondoa stress na kwa sababu nilikua tungi nikazama ndani.
Leo nimepewa notes na baba mwenye nyumba kwa mke wangu kuvuta bangi hadharani (Ila hii sio ishu nitamalizana nae).
Mke wangu nikimuuliza anasema mbona wewe unakunywa?.. Kwani tatizo nini?...
Story ni ndefu sema nimeifupisha.
............nahisi na wewe pia unalivuta, maana nikisoma maneno ya Avator yako yamekaa kibange bange tuu !:shocked:
kwenye mkataba kuna kipengele kinachokataza ku"smook" weed?
Hiyo familia duu baba chapombe mama chaweed sijui mtoto atakuwaje!what a wonderful family!
Weed is good....nina so many days without puffing that damn good shit.Let me go and puff myself.
Marhaba kijana hujambo? mimi kaka yako nimeshindwa kuelewa hayo maandishi ya rangi nyekundu