a beautful woman is another men plaything..ni line mojawapo kwenye huo wimbo..thumb up jomba and i like the song mbayaKawaida kama ulianza uhusiano na mwanamke/mwanaume mapema may be tokea primary ila zinakuwa zile za kitoto toto lakini urafiki wenu unaendelea kudumu mwishowe mnapozidi kukua ndivyo na uhusiano/urafiki wenu unazidi kukua pia then mnakuja kujikuta mmekuwa wapenzi, hapa huwa kuna asilimia kubwa ya penzi lenu kuwa la dhati hata kama mmoja wapo hana standard nzuri ya maisha coz mlifahamiana mapema LAKINI ndugu yangu KIPEPERUSHI huyo binti ulimtamani kwanza kwasababu si rahisi kupenda kitu 100% kabla ya kukiona na inapelekea kushirikisha moja kati ya milango ya fahamu...so mwanzoni wewe haikuwa hivyo, pengine mwenzio alisha kujengea picha flani huyu mtu yuko hivi na vile so alivyo kuta haviko kama ile Imagination yake ni rahisi sana wewe kuwekwa pending..Kumbuka dimbwi la maji halipimwi kwa kuzamisha mguu... Umesha dumbukia sasa inakuwa tabu kwako kujiokoa ila Usikatee tamaa itajipa tu pengine si chaguo lako.
"Is Not Easy by Lucky Dube"
Mmh, umenitisha kwa hiyo statement maana mi pia inanihusu, but kwa upande wangu we do exchange pichaz na kila siku we skype everyday
Hehehehe, try video chat ili akuone vizuri vile ulivyo.Picha wakati mwingine nazo hua zinacapture mvuto ambao hauko kwa wale ambao ni photogenic.
too much details, cant u cut it short.
Anayo, amtafute wa matawi yakehapendwi mtu yapendwa pochi!
fukara hana haki ya kupenda??
HehehehehUnaweza ukakuta picture zenyewe mixer madikodiko ya photopoint...kwenye madikodiko yale kila mtu anatoka mzuri..balaaaa! mtu anajiaminiii anakutana na bonge la soft beibe kumbe.....
Mmh, umenitisha kwa hiyo statement maana mi pia inanihusu, but kwa upande wangu we do exchange pichaz na kila siku we skype everyday
Kama ishu yako ya kifedha haikumsumbua tangu mwanzo, (maana aliamua mwenyewe kujisafirisha kuja kukuona pamoja na kwamba alijua hujakaa vizuri kwenye maswala ya pesa) jua hajaridhika na kile alichokiona.
Kwa kiasi fulani watu wanaokua wameingia kwenye mahusiano kabla ya kuonana hua hawaendelee kama walivyokua mwanzo baada ya kuonana uso kwa uso.Sijui kama mlishatumiana picha au la, ila jua kwamba kama hamkua mmetumiana basi ile picha aloyojijengea kichwani mwake haifanani kabisa na wewe ulivyo.Na kama mlishatumiana basi picha yako ilimpa picha ambayo ni tofauti kidogo na ulivyo. Kwa ufupi ni kwamba muonekano wako sio sawa na vile alivyotarajia.
Na kama hiyo ndio hali halisi hamna unachoweza kufanya, labda kama unaweza kubadili muonekano wako ili umpe furaha ya macho kama ulivyompa ya moyo mpaka akaja kukuona.
Kama mwanzo ulienda zenj na ulikua apeche alolo, kiasi cha kufupisha safari na yeye hakujali kiasi cha kukupiga chini, jiulize nini kimetokea baada ya kuja dar? Ulim-bore kwa kuchelewa kumfuata airport. Nina hakika ww ndo uliencourage yeye aje muonane,still ukashindwa hata kuwepo airport mpande wote hiyo daladala kwa mapenzi makubwa. U ar such a mess aisee. Huna kazi mwaka mzima,mipango ya fedha inakusababisha ushindwe kumpokea mke mtarajiwa, halafu unataka kupanga mipango ya harusi? Be the man!
Labda utuambie kwanza kama uliomba radhi kwa kitendo chako(unaweza kurejea signature yangu)! Je alisemaje? Kama bado hujaomba radhi basi fanya hivyo mara moja..... Hata hivyo niliwasiliana nae na bahati nzuri baadae tulikutana nae baada ya yeye kuja mwenyewe kwa daladala. Baada ya tukio hilo mawasiliano yetu yamedhoofika kwa kiasi kikubwa kiasi kwamba hata dalili za maendeleo ya mipango yetu ya ndoa zimepotea kabisa...! Ndugu zangu wanaJf, nimeuleta uzi huu hapa jamvini kwa sababu naamini kwamba hiki ni kiwanja cha watu wenye fikra pevu. Naomba mawazo yenu, lengo langu ni kurudisha uhusiano wangu na huyo bibie, tatizo langu ni kwamba nahisi mrembo amenidharau.
hapendwi mtu yapendwa pochi!
yaani umemwambia ukweli,im a lady bt nikipanga apointment na m2 huwa nipo pale 15min kabla ya muda na m2 tuliyepanga akichelewa nakasirika kiasi kwamba hata mazungumzo yanaweza kuahirishwa kuwa siku ingne,i hate hate late comers for me its disrespect,and a sign of im not important,tena ukiwa unakuja kunipokea ukachelewa ni mbaya,embu tafuta jinsi ya kurudisha moyo wake umemkosda
Hhahahaha!!!Letting ur lady be stranded at the airport ama pale ubungo! Kha! That reads 'I got more important issues' At least kama ni sokoni au mjini atafanya lau window shopping. Tena mwanzo hivyo u ar nt excited at all! Sasa mkishaishi miaka 15 si utamuambia chukua taxi?