Nimelikoroga

nenda na helementi ndugu yangu, na hakikisha unabaunsa pembeni....."trust nobody"
 
mmh labda nikatoe taarifa kwanza kituo cha polisi. maana hawa watu hawaaminiki.

Kinga ni bora kuliko tiba... kwa akili za wengi wa wale jamaa ni bora tu ukatoa taarifa polisi ili lolote likitokea kuwepo na pa kuanzia.
 
nashukuru kwa mchango lakini ndio ivyo imeshatokea lawama hanisaidii zaidi unazidi kunipa presha tu. halafu kumbuka nilijitahidi kuficha lakini ndio hivyo kukosea ni ubinadamu
 
mdogo wangu wa kindoa Bemba, kwanza kabisa wewe wala usiongope umesema kweli simama kwelnye kweli yako na kweli itakuweka huru.

kama umeshakana basi sasa sema ukweli na usiogope manake huyu bwana ningekuwa mm yeye wala nisingetaka kuyakuza ningekuita tuyazungumze make mkewe kesha mwambia ukweli wote na kama vipi atubu kwa mkewe maisha yasonge mbele sasa kujimwambafai kwa kosa lake mwenyewe kunamsaidia kitu gani?

hata kama ndoa ngumu basi huyu alokosea anapaswa kujishusha kwan kosa kubwa sana hapo ni lipi? NA KIPI KISICHOZUINGUMZIKA?
 
Last edited by a moderator:
DEMBA shost pole jiandae kusutwa na mapanga.
Hama hapo fasta mambo ya ndoa magumu sana.Na iwe fundisho kwako

mmh shost hebu tuokoe jahazi hili leo, maana hapa hapakaliki tena
 

ahsante kwa ushauri lakini kinachonikwaza hasa ni usalama wangu hapo kikaoni. huyu bwana hata mke wake huwa anampiga sana tena kuna siku alitaka hadi kujiua kutokana na vipigo
 
mmh labda nikatoe taarifa kwanza kituo cha polisi. maana hawa watu hawaaminiki.

Sijaelewa best,anakuweka kikao yeye kama nani? Na nani ataongoza hicho kikao?
Fanya la msingi nililo bold hapo kisha rudi zako nyumbani kama ratiba yako itakavyokuruhusu,kama una ndugu wa kukupa company itakuongezea ujasiri,akija kukugongea huna hata haja ya kuvuka kizingiti cha mlango unamjibu tu kuwa hujaongea na mkewe na mambo ya familia yao hayakuhusu!!!
Aingie kwa nguvu chumbani kukutoa sasa!!!
Yaani dhahma alitafute mwenyewe kisha akuweke wewe roho juu mpaka ukimbie nyumba yako inahuu?
 
Mh! Nakushauri ukaripoti kwanza kituoniiii! Hapo jamaa ushamuharibia ndoa yake hawezi kukubali na hata ukikataa watakapopatana na mkewe lazma ukweli utajulikana kuwa wewe umemthibitishia mkewe! Chamsingi kwenye hcho kikao nashauri wawepo na watu wengne uckubari ukae wew na yeye haki ya nani utakatwa kinembe nakwambia!! Karipot kabsa kuwa umerikoroga!
 
nashukuru kwa mchango lakini ndio ivyo imeshatokea lawama hanisaidii zaidi unazidi kunipa presha tu. Halafu kumbuka nilijitahidi kuficha lakini ndio hivyo kukosea ni ubinadamu

its ok..new lesson learnt....
The way 4wd...kutana naye na simama ke nafasi yako ka mwanamke na muambie uliyaona na ukashindwa kuvumilia ikabidi useme ukweli na kuwa wewe hupendi uongo..pia mshauri aombe msamaha wa kweli kwa mkewe warudiane na amuheshimu kwa dhati....jamaa hana atakachokufanya na atakuheshimu.
 

ahsante mkuu matmafcha ila kwa jinsi alivyona na hasira sijui kama mazungumzo yatafanikiwa leo.
 
Last edited by a moderator:
Dah wanaume wengine bana, mke kasafiri unaweka kimada home, huyo lzm ukimwi ummalize tu.
 
ahsante kwa ushauri mkuu Who Cares?
 
Last edited by a moderator:
Kusema umbea si kazi, kazi kusutwa, shosti umejitiaa mdomo wako hauja tahiriwa Kama nakuonaa unavyojutaa... Usijali jikaushe kua mkavu huyajui hayakuhusu na hutaki kujua, ukikimbia itaonyesha umesema Kama kuna wala gani wengine washirikishe... Sikunyengine shosti ebu meza wacha mengine yakupite...
 
Munkari ndio yake sijaharibu mimi bana yeye mwenyewe anafanya mambo bila kufikiria impact yake.
 
Last edited by a moderator:
kunisuta hawezi angekuwa hana hasira mimi ningeongea naye taratibu na kumpa way forward ya kunusuru ndoa yake. tatizo ni usalama wangu leo hapa ndani.
 

ahsante my dia wacha nimpigie simu mdogo wangu aje kunipa kampan leo na kwa kuwa kesho ni weekend hilo halina shaka
 
nenda na helementi ndugu yangu, na hakikisha unabaunsa pembeni....."trust nobody"

sijawah kuona kama anamiliki panga hapa ndani. ila naona bora hili suala liende kisheria tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…