Nimelikamata lijanamke jizi

View attachment 3542405
Tumekubaliana tukadinyane likataka nilitumie elf 10 ya nauli nikaliambia nitalifuata lilipo usafiri ninao limeamua kuniaga.
MMamae atapeliki mtu
Kwa hiyo sms, hakuwa na lengo la kuja wala nini, ni kipimo kizuri umefanya.

Hicho ni kihunzi kimoja tu umekiruka, lakini vipo vingi tu.
Unaweza kutuma nauli na akaja na bado akakueleza kuwa yupo kwenye siku zake.

Je utakataa kumpatia nauli ya kurudia kwake?πŸ˜ƒπŸ˜„πŸ˜
 
Poleni watafuta papuchi πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…