Umewahi kulia? Mwenzenu nimelizwa sana na huyu mke wangu. Sasa nasema basi, bora nihamie Kimara alikosema Lisa.
Nadhani nitaachana na kilio hiki ili abaki salama.
View attachment 87013
Imekuwaje hadi umelizwa na mwanamke wewe?
unaona sasa....Kama kuhamia Kimara ni suluhisho la matatizo yako, tafadhali hama hata leo!
Ila nikupe angalizo moja, ingawa sijui sababu inayokuliza - kukimbia tatizo si njia sahihi ya kutatua tatizo, njia ya kutatua tatizo na kukabiliana na tatizo. Una uhakika gani kama ukihamia Kimara utampata mwingine wa kukuliza? Ukimpata wa kukuliza utahamia wapi tena? Bunju, Mbagala au utahama mkoa kabisa?
Acha na mimi nilie kwa uchungu kukuonea huruma mshkaji wangu .....!
Pole brother maana huku hata mie umeniliza!Umewahi kulia? Mwenzenu nimelizwa sana na huyu mke wangu. Sasa nasema basi, bora nihamie Kimara alikosema Lisa.
Nadhani nitaachana na kilio hiki ili abaki salama.
View attachment 87013
Hiki ni kilio cha mbwa tungejua kisa chenyewe ingekuwa fresh sana inawezekana umezowea kudeka tu
Aaaaaah uuuuhhhhhhg khah! Mtalia saaaaaaaaaana!
Kama kuhamia Kimara ni suluhisho la matatizo yako, tafadhali hama hata leo!
Ila nikupe angalizo moja, ingawa sijui sababu inayokuliza - kukimbia tatizo si njia sahihi ya kutatua tatizo, njia ya kutatua tatizo ni kukabiliana na tatizo. Una uhakika gani kama ukihamia Kimara utampata mwingine wa kukuliza? Ukimpata wa kukuliza utahamia wapi tena? Bunju, Mbagala au utahama mkoa kabisa?
Acha na mimi nilie kwa uchungu kukuonea huruma mshkaji wangu .....!
View attachment 87013
..napenda sana kulia....