Nimelewaje jana? Wee acha tu! Simba oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Nimelewaje jana? Wee acha tu! Simba oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Miwatamu

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2012
Posts
1,450
Reaction score
492
Jana nikaamua kuwa swaga wa kitaa>.........!! Nimepiga tingasi karibia kila kona ya jiji hili lengo ikiwa ni kushangilia ushindi wa Siiiiiiiiiiiiiiiiii ahaaaaaa kumbe siyo Simba wajameni ni YANGA hiyoooooooooooooooooooooooo imenifikisha kileleni kama mpenzi wangu wa kwanza aliyenivunja nyonga. HONGERENI KWA WANA YANGA na POLENI KWA WANA SIMBA huondio mpira bwana. Bhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaas.
 
Bao la yanga limekufikisha orgasm,jikague
 
Mzee wa reception hajalala chooni kweli jana
 
We mzee wa rula unajua hufanani na hilo tusi ulilotoa hapo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom