Nimelewa tila lilaa nimelewa tilaliaa

Circuit breaker nnazo kadhaa, kwa hiyo ikibreki moja zingine ni automated!
Sasa kama sio kuzeeka unashtukashtuka nini sasa?
Naomba hilo neno 'umezeeka' uliondoe kabla hawajasoma wengine................Kuhusu kizungu si tu umeunguza fuse bali socket breaker imevunjika kabisa
 
Circuit breaker nnazo kadhaa, kwa hiyo ikibreki moja zingine ni automated!
Sasa kama sio kuzeeka unashtukashtuka nini sasa?

Sio uzee ni mstuko wa kheri lakini usisahau "Ganda la mua la jana chungu kaona kivuno"................au unaonaje King'asti "Mcheza hawi kiwete,ngoma yataka matao"
 
Last edited by a moderator:

Utavunjwa duka wewe kijana, we penda kulewa-lewa tu...
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…