Wanajifunza kule, mijitu yenye roho mbaya inapatikana Africa hasa Tanzania.Sijui kwanini watu wanaoishi ulaya/marekani huwa Ni wakarimu sana
Mkuu ndio maana nimeuliza hapa,kama unanifahamu bei unaweza nisaidia kujua tafadhali.Nenda dukani kaulize bei, ukishapata bei halafu wewe kadiria bei ya kumvutia mteja.
Na kama ni used lazima uelewe kitu used hakina thamani ya simu mpya.
umesema kwa hasira sana 😅Wanajifunza kule, mijitu yenye roho mbaya inapatikana Africa hasa Tanzania.
Wameshavuka level ya uprimitivesSijui kwanini watu wanaoishi ulaya/marekani huwa Ni wakarimu sana