macho_mdiliko
JF-Expert Member
- Mar 10, 2008
- 22,419
- 41,109
Kuna siku nilikuwa Ulaya, nchi fulani nikakuta kuna mjadala. Ulikuwa na wa nini? Walikuwa wameweka sehemu yenye vyombo vya udongo kama sahani, bakuli, vikombe na mtu anapokasirika anapata sehemu ya kwenda kutolea hasira zake kwa kuvunja vunja vile vyombo.Sawa nalifanyia kazi hili mara moja. Ila nachukia mno nikiudhiwa.
Anakata nyama na jembe? au sijaelewa...Kuna mgogo namfahamu zaidi ya miaka ishirini yeye akichinja ng'ombe lazima akate sehemu fulani kwenye jembe ale.
Anadai ni taratibu za kwao.
Unge google madhara kabla ya kula.. au haukuwa na bando?Kwema ndugu zangu? Mimi ndugu yenu nina shida ya hasira sana. Na hivi karibuni tatizo langu limezidi.
Leo ilitokea nilipata hasira sana baada ya kuudhiwa sana, mpaka nywele zikasimama na macho yangu yalikuwa na rangi nyekundu. Ili kutuliza hasira ikabidi nile nyama mbichi...
Kuna sehemu kwenye nyama ya ng'ombe inaitwa hivyo.Anakata nyama na jembe? au sijaelewa...
Ukiudhiwa na nn? Mtu akikosea nini ndo mashetani ya nyama yanaamka?Ahsante sana. Naumia mno kwa hali hii. Nikiudhiwa nakuwa hovyo sana.
Ndio nahisi ana mental illness.Umesoma uzi?
Nashukuru nitafanya hivyoKwa hio ulikula hio nyama yote mbichi? utakua na shida, jaribu kuchunguza wazazi wako kama kuna mwenye hio tabia.
Sawa shangazi.Acha huo ujinga, ipo siku utakula nyama ya mtu.
Hapo nshakuuzi sasa sijui utakula nyama ya nani, mie sipo
Sijajua mengi sanaa kuhusu meditation ila ninachojua inasaidiaNasikia inafungua milango ya ajabu ajabu mno
Yeah na inasemekana inaruhusu Kundalini spirit kukujia.Nasikia inafungua milango ya ajabu ajabu mno