Nimelala na mwanamke kitanda kimoja usiku kucha ..........

Uuwwwiiiiii


ndo maana matukio ya humu hutakiwi sema yako.
Unasimulia ya watu wengine tu.

 

Acha stori, usitugeuze wagagagigikoko Bulcheka we!
 
Ewe mwanadamu. Enenda katika NENO. Kwanza soma Mathayo 4:1-11. Halafu fukizia Zaburi 23, kwani umo ndani ya BONDE LA MAUTI, lakini lenye maua na vipepeo wazuuri. God bless you.

Sote tupo katika bonde la mauti Baba Mchungaji, pamoja na wewe!
 
atamsema vibaya sana ofcn kama asipolinda urijali wake

Shida ndo hii...
Manuu pls hakikisha unanunua Condoms uwe nazo incase ukizidiwa coz unaweza kujilipua then kesho unaambiwa mumewe ni victim tangu mwaka 2006....lol
 
umewahi sana kuweka hii post. ungetuwekea siku ya 3 au ya 4 ndio ingenoga. una kiherehere sana cha kupost.
haya urudi after 3 days utueleze mmesave dollar ngapi kwenye hotel kwa kulala kitand kimoja na makumbatiano ya kitakatifu.

umeonaeee!!!
 
kwa kusema kweli sijaona la ajabu. Manuu achana na mawazo ya ovyo, wewe lala siku zitaenda na utarudi kwa mkeo salama kabisa
 
manuu am very serious njoo semina gangilonga mm tutalala hata mwezi wala sitakubughudhi.
 
Shigongo ananunuwa tamthilia kama hizi, si vibaya ukawa unamtumia riwaya zako.
 
Niambie mkuu, isje ikawa pamoja na mateso yote hayo...bado we ndo umelpia room, na zake bado zpo mfukon!

Acha uanaume ***** wewe, chemsha bongo na kama vp, vunja mkataba!Anyway,akl kchwan mwako...
 
Mungu alikua anamaana kubwa aliposema ikimbie zinaa tena kwa miguu yako miwili sasa wewe unaikaribisha kwa mikono na miguu.uje utuambie na kesho sasa.
 
Shigongo ananunuwa tamthilia kama hizi, si vibaya ukawa unamtumia riwaya zako.

Hata hivyo hii nimeopenda inatakiwa kutengenezewa mwanzo mzuri na hitimisho pia la ukweli...
Asante kwa ushauri
 

patamu hapo sa si bora alete shari kabisa....
 

patamu hapo sa si bora alete shari kabisa....sema mbaya zaidi tunaweza mtia ujinga afakijifanya kidume aanze kumnawa ndo hapo sasa dem atakapombani na jamaa akose ndoa na aibu kazini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…