Nimelala na muathirika wa VVU


 
Duhhh kama manii yanasababisha kwann mtoto anazaliwa bila maambukizi
Damu ya mtoto na ya mama havichangamani akiwa tumboni. Ndio maana blood groups zao zinaweza tofautiana. Damu zao huchanganyikana kwenye kujifungua, mama mwenye maambukizi hupewa dawa na uangalizi maalum ili asiambukize mtoto wakati wa kujifungua. Na pia mtoto huachishwa kunyonya mapema.
 
Kama umejipata lakini kama bado afya ni mtaji mkuu
 
Ma-ex hasa waliozalishana wanakuwa(ga) na gubu si ajabu lengo ni kumharibia tu mwenzie.
 
Haya simama nae wima usilale nae
 
Duh mbona mnanitisha Mzee wa kavu
 
nenda kituo cha afya kama haijapita masaa 72, watakupa dawa za postexposure prophylaxis zitakazokukinga.
Kama muda umepita pia nenda kituo cha afya.
Michubuko si lazima inayoonekana, kuna michubuko ambayo huwezi kuiona.
Pia kama huyo mama anatumia dawa zake vizuri uwezekano wa kukuathiri wewe ni mdogo sana. Dawa hufubaza virusi na kuvitoa uwezo wa kuathiri wengine kwa urahisi.

Nenda hospitali kafanye vipimo vya awali, kisha uende tena baada wiki tatu, kisha baad mwezi na baada ya miez miwili, ukiepuka hapo utakuwa salama.
Pole.
 

2weeks naweza pata majibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…