Nimekuwa naye kwenye uhusiano muda mrefu lakini kumbe ana mke na watoto 2

Hapo maamuzi ni yako wewe kama wewe. Mana umeshaanza kusema unajitahidi kumuacha ila umeshindwa.

Hivyo ni wewe kama wewe kuangalia ikiwa unaona maisha ya kuendelea kula vya wenzio yako bomba ni sawa na ukiona utafute wa kwako ndio itakuwa poa kwa 100%.

Pole sana.
 
huo ndo upomole! endelea kumuwazia !ukongorokeee! kubali kumove on! wamemove on wenye ndoa na pete kanisanu sembuse wewe! lol! endelea kumlilia ukidhan atakurudia!nyts!
Hahaaa. Na maisha yalivyo sasa si ameshajua yule ana mke wake hao wenye pesa zao wanaweza wasionekane tena. Teh teh teh
 
Hahaaa. Na maisha yalivyo sasa si ameshajua yule ana mke wake hao wenye pesa zao wanaweza wasionekane tena. Teh teh teh

hahaa huyu sasa hv atapigika hatari !tteetete! hawapo kwanza!ajipange tu kivyake !na hakuna kitu mby km kupenda kumtegemea men! ile kuomba omba! argh mie siwez!
 
Heshima kwenu wakubwa
Ni Kijana mmoja mtanashati,, mwenye sifa zote za kuwa hubby,,nimekaa nae kwa mahusiano takbani mwaka sasa.japo twaishi miji tofauti
Tumepitia migogoro Mingi sana
Tushaachana na kurudiana mala nyingi tu.

Juzi napata habari ana mke na watoto wa2 na ndoa ya kanisani.
Na muda wote tumekaa kwa mahusiano mkewe alikuwa nje ya nchi masomoni hadi sasa.
Aliyenipa habari ni Rafiki yake wa karibu na akanishauri napotezewa muda.
Nafikiria nimuulize lakini naogopa
Jamaa nampenda nimejaribu kumuacha nimeshindwa kabisa.

Nisaidieni wakubwa wangu nifanye nini kwa hali hii, napata watu wa maana tu kuliko yeye lakini siwataki sijui nimepatwa nini.
Nawasilisha.
Umeashindwa kabisa kumuacha???kidogo nakuelewa lakini kwenye maisha kuna wakati inabidi ufanye maamzi magumu na wakati huo ndio sasa ,kila kitu kinaanzia kwenye mind yako if you tune it everything is possible ingawa haitakuwa rahisi nakushauri tena kimbia kabla hujaumia zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hahaa huyu sasa hv atapigika hatari !tteetete! hawapo kwanza!ajipange tu kivyake !na hakuna kitu mby km kupenda kumtegemea men! ile kuomba omba! argh mie siwez!
Umesema kweli mumy wenye hela walishaisha. Ndio ujifunze sasa kuomba na weyee.

Ila hakuna viumbe wana siri nzito kama me mana mdada wa watu ameshakolea na hataki kutoka. Lol.
 
Umesema kweli mumy wenye hela walishaisha. Ndio ujifunze sasa kuomba na weyee.

Ila hakuna viumbe wana siri nzito kama me mana mdada wa watu ameshakolea na hataki kutoka. Lol.

nna udhaifu hapo! nakumbuka wakat nasoma hata sec nikiishiwa nawaza naombaje hela hom! yaan mie domo zege!baba alinijulia chuo kuwa huwa naogopa kuomba hela akawa anajitune mwenyew anakuchek!sasa ndo upate janaume linalopenda maganda ya ndiz( kuteleza) utajuuuta! na nilikua hv kwasabb baba alikua km pilipili kuepusha shari nikawa najiogopea mwaya kulia shidas! nadhan nitazeeka na udomo zege huu!

huyu dogo ajipange!
 
lakini jaman mtu mwenye familia anajulikana tu....na ukitaka kufuatilia utajua tu..kazini kwake ,majirani zake,..na watu wa karibu hao wote huwezi kupata ukweli kama ana mke..no....
 
Muulizie utanioa lini? Alafu majibu yake fanyia kazi. .. Be intelligent ata yeye anakupenda ila nahisi yeye alipatwa na tamaa kwa sababu ya umbali! Ila kunauwezekana Mkubwa ukavunja ndoa kutokana na mapenzi utakayo yaonyesha kwa yule umpendaye kwani kama mmewahi kupendana MAPENZI ya kweli huwa hayapotei kama.

Sent from my itel it1406 using JamiiForums mobile app
 
nna udhaifu hapo! nakumbuka wakat nasoma hata sec nikiishiwa nawaza naombaje hela hom! yaan mie domo zege!baba alinijulia chuo kuwa huwa naogopa kuomba hela akawa anajitune mwenyew anakuchek!sasa ndo upate janaume linalopenda maganda ya ndiz( kuteleza) utajuuuta! na nilikua hv kwasabb baba alikua km pilipili kuepusha shari nikawa najiogopea mwaya kulia shidas! nadhan nitazeeka na udomo zege huu!

huyu dogo ajipange!

Hongera sana mumy endelea na udomo zege wako mwaya kwani kwa upande wangu naona ikiwa hujazowea kuomba omba ujue kila utakachokipata utaridhika nacho bila kujali wingi wake ama uchache wa unachokipata.
 
wadada cha kuelewa ni kuwa lazima tufunguke..mtu akishakukuwa na mkewe ni wa kumuogopa kama ukoma..kwanza atakupotezea muda sana,hawezi kuwa na mapenzi ya kweli atakutumia tu,atakudanganya sana ..kwa nini bi mdada usimwombe na Mungu akakusaidia kupata mume wako mwenyewe ambae utakuwa huru nae kwenda popote,hutaogopa nyembe za usoni,mtapanga mambo yenu ya baadae kwa uhuru,mtapanga familia yenu

sasa mume wa mtu yeye tayari ana mipango na mkewe na familia yake wa nini huyo
 
Ukishikwa ugoni hata kama ulikuwa unajua martial arts, unakuwa bwege tu mke wa mtu anapawa kwa mumewe unaweza tandikwa kelbu za maana mchana kweupee alafu wewe umeficha uso tuu, na hata kuvuliwa nguo, kudhalilishwa kisa (Mashine) tafta mwanaume ambaye hana familia ama hajaoa mdada....utakuwa kimada hadi unazeeka..
 
wadada cha kuelewa ni kuwa lazima tufunguke..mtu akishakukuwa na mkewe ni wa kumuogopa kama ukoma..kwanza atakupotezea muda sana,hawezi kuwa na mapenzi ya kweli atakutumia tu,atakudanganya sana ..kwa nini bi mdada usimwombe na Mungu akakusaidia kupata mume wako mwenyewe ambae utakuwa huru nae kwenda popote,hutaogopa nyembe za usoni,mtapanga mambo yenu ya baadae kwa uhuru,mtapanga familia yenu

sasa mume wa mtu yeye tayari ana mipango na mkewe na familia yake wa nini huyo
Ni swala la kujiongeza tu kwa sababu kuwa na mume wa mtu hasara zinakuwa nyingi kuliko faida.
 
Achana na mume wa mtu maana utaishia kuwa kimada wake tu. Heshima iko kwa mke wa ndoa ukija kushtuka tayari hakuna hata wa kukusalimia umeshazeeka na ujue wakati huo atakuwa kwa mke wake
 
Heshima kwenu wakubwa
Ni Kijana mmoja mtanashati,, mwenye sifa zote za kuwa hubby,,nimekaa nae kwa mahusiano takbani mwaka sasa.japo twaishi miji tofauti
Tumepitia migogoro Mingi sana
Tushaachana na kurudiana mala nyingi tu.

Juzi napata habari ana mke na watoto wa2 na ndoa ya kanisani.
Na muda wote tumekaa kwa mahusiano mkewe alikuwa nje ya nchi masomoni hadi sasa.
Aliyenipa habari ni Rafiki yake wa karibu na akanishauri napotezewa muda.
Nafikiria nimuulize lakini naogopa
Jamaa nampenda nimejaribu kumuacha nimeshindwa kabisa.

Nisaidieni wakubwa wangu nifanye nini kwa hali hii, napata watu wa maana tu kuliko yeye lakini siwataki sijui nimepatwa nini.
Nawasilisha.
Pole fellow member, hili limekuwa tatizo kubwa sana, tunaingia tu kwenye mahusiano bila kufuata vigezo vinavyotakiwa. Tunakurupuka kiufupi, tunavutiwa na materials na kama utakuwa mkweli kwa nafsi yako basi utakubaliana na mimi. Kama ulivutiwa na vitu vinavyoisha wakati unaanza nae mahusiano basi daima haya ndio matokeo yake, na hii kuvutiwa na na vitu visivyo vya msingi katika maisha ndio inatuangamiza wengi. Kama wewe ni muislam basi nashauri tu umueleze huyo jamaa kwamba wewe unampenda, muombe mola msamaha kwa uzinifu wenu mlioufanya muda wote huo na umwambie akuoe mke wa pili, kama wewe ni mkristo basi pia uombe msamaha kwa uzinifu ulioufanya ila nashindwa kujua ufanye nini maana ndoa za ukewenza hazipo katika ukristo.
 
Back
Top Bottom