paschal hasani
Member
- May 11, 2014
- 15
- 0
Me ni kijana mwenye miaka 26 nipo Dar es Salaam, naomba kuuliza pia mtu mwenye upeo mkubwa anisaidie kunishauri. Nina msichana nimeishi naye mda wa mwaka 1, mimi nafanya kazi naondoka asubuhi narudi jioni.
Yeye nimemfungulia duka na glosary sasa tatizo hajui hesabu vizuri alafu hajatulia nkirudi huwa naenda kule kwenye biashara yeye atadai amechoka anaenda kunyoosha miguu lakini mpaka nafunga saa 5usiku hata nyumban hayupo nkimuuliza atajibu nilikuwa misele inanipa matatizo kwa kweli nimekuwa mtu wa mawazo nimesoma chuo miaka 2 cha ajabu nimekataa kwenda kufanya mtihani wa mwisho.
Kwa sasa nimeamua kufanya kazi nijaze duka nilipe kodi za fremu na nyumba alafu nimwambie tukasalimie nyumbani nimwache kwao bila yeye kujua hilo, nimtafute mchumba mwingine.
Ambaye yupo tayari tuwasiliane kwa no. 0765979932, awe amesoma hata form 4 au chuo awe mkoa wa Dar es Salaam.
Au naombeni ushauri wenu sitaki matusi please mana ushauri wako ni mafanikio kwangu na kwa taifa lote. Karibuni kwenye mjadala huu kila nkimwambia aondoke kwangu hataki kurudi kwao ataenda mtaani.
Mimi namwonea huruma namrudisha kwangu kwa kuwa hamna wa kunisaidia kule kwenye biashara nfanyaje jamani