Teh labda hakukupa kadri ya matakwa yako.....kesho mwambie tena mka naniiHahahahaah!! Mimi niliomba tukatiane chungwa, kitu alichotekeleza yule dada.
Hahahaaaa mi nilijikausha tu wewe unamshtua mapema.....?oooh my god.katavi kumbe tunafanya wote.!!!!!!!!
kumbe huku ndo ndo unajiita katavi.
Dah.....ila bora nimefunguka.....ila kesho watakuwa wameshasahau kukutaniaHahahaah!! Kumbe nimemwaga mchele kwenye kuku wengi..
Teh hata mimi nimebadili kweli.....lol liko safi sanaHuenda wengine wamesave jina langu "Tukatiane" kwenye phonebook zao.
Kweli kiaje?Inabidi nifanye kweli aisee....
Midume yenyewe inamtania yule dada aliyenikatia chungwa.