Nenda bachelor of science with education...Niende wapi? naombeni ushauri. nimechaguliwa vyuo vinne nmesoma science PCB 1.bachelor of education in special needs>UDOM 2.bachelor of education in science>MUCE 3.bachelor of science with education>st John 4.bachelor of education in science>Mwenge wadau wananiambie et special needs ni nzuri ila Nina wasiwasi kkuhusu mkopo kwasababu hiyo kozi ni non priority! ila zote mm nazipenda! niende wapi jamani na kuhusu changamoto za ajira.
Kama unasoma kwa kutegemea ajira bora urudi tu nyumban. Ila kama utabadilika basi nenda MUCE..Niende wapi? naombeni ushauri. nimechaguliwa vyuo vinne nmesoma science PCB 1.bachelor of education in special needs>UDOM 2.bachelor of education in science>MUCE 3.bachelor of science with education>st John 4.bachelor of education in science>Mwenge wadau wananiambie et special needs ni nzuri ila Nina wasiwasi kkuhusu mkopo kwasababu hiyo kozi ni non priority! ila zote mm nazipenda! niende wapi jamani na kuhusu changamoto za ajira.
Hiyo special needs inahusu wanafunzi kwenye mahitaji maalumu, (with disabilities)Niende wapi? naombeni ushauri. nimechaguliwa vyuo vinne nmesoma science PCB 1.bachelor of education in special needs>UDOM 2.bachelor of education in science>MUCE 3.bachelor of science with education>st John 4.bachelor of education in science>Mwenge wadau wananiambie et special needs ni nzuri ila Nina wasiwasi kkuhusu mkopo kwasababu hiyo kozi ni non priority! ila zote mm nazipenda! niende wapi jamani na kuhusu changamoto za ajira.
Hiyo special needs inahusu wanafunzi kwenye mahitaji maalumu, (with disabilities)
Umesoma PCB, Nakushauri kozi nzuri for your own future ni Bsc.With Education.
Wala usiangalie Chuo, huku mtaani No body cares.
Nenda ukalimeNiende wapi? naombeni ushauri. nimechaguliwa vyuo vinne nmesoma science PCB 1.bachelor of education in special needs>UDOM 2.bachelor of education in science>MUCE 3.bachelor of science with education>st John 4.bachelor of education in science>Mwenge wadau wananiambie et special needs ni nzuri ila Nina wasiwasi kkuhusu mkopo kwasababu hiyo kozi ni non priority! ila zote mm nazipenda! niende wapi jamani na kuhusu changamoto za ajira.
Nijuavyo mimi deadline ya kuconfirm na kuwa considered kupata mkopo ilikuwa kwenye 1st round tarehe 10 October sina uhakika kama kuconfirm sasa hivi utapata mkopo
Ningekushauri uende chuo pendwa UD kuna faida nyingi kule i.e. MUCE
NamshangaaKama ni PCB kwanini hakuchukua Doctor of medicine Udom or MUHAS?!