falcon mombasa
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 9,229
- 9,357
nia ipo ila kili nikisema nikaze unakuta sijui wanatokea wapi wanaanza kujibebishaPole sana mkuu, kuwa na nia ya dhati ya kuacha tabia ya kutembea na wake za watu
niko mbioni kuiachaAcha hiyo tabia kama ukiendelea nayo kuna siku utaingia kwenye 18 na utajutia sana
ushauri gani sasa huoWe endelea tuu mpaka ukamatwe..!! Ila tembea na vilainishi ili kujilinda na chochote..!!
Huo ndio ushauri?Jiandae kuwa addicted na mitarimbo
Ni ushauri unao onya, kukaripia na kuelezea future ya kula wake za watuHuo ndio ushauri?