MZURI SANA
JF-Expert Member
- Oct 19, 2023
- 241
- 546
Ninapenda mapenzi.
Nimekuwa addicted sana na Maisha ya mapenzi.
Kuna ka muda najiona mpweke nikikosa kitu roho inapenda.
Jamani kuna mwingine mwenye hii hali unaweza kufanya nini iishe.