Nimekutana na mwanamke wa ajabu, naanza kuingiwa na hofu walimwengu nisaidieni

Mimi haijawai nitokea na tukikaaga vijiweni zikipigwa hizi story naonaga ni sukumia muda kipindi hicho ila ilivyokuja kumtokea mjomba ndio nikaanza kuamini maana ukoo wote ulijua bibi mbeya alipata taarifa kuwa mwanao kakutana na jini aliliwa kama kafa ndugu wote wa dar tulikwenda kujazana bunju na kama tunavyojulika wanyakyusa kwa uchungaji aisee anko ni mtu wa miraba minne lakini kulala na mkewe tu alikuwa anaogopa anata kulala mob na maombi juu kwake pakageuka kuwa kanisa ila sasa hivi yupo anadunda tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu tuelezee kidogo chanzo ilikuaje plz
 
Hapana hamtonielewa, nimejaribu kuwaelezea watu wengi lakin wakaona kama nimerukwa na akili, lakin naamin muda ni jibu jema, ngoja nione itakuwaje.
Mkuu hadithia kisa chako vijana tujue namna ya kukabili hizi changamoto hata zikitokea tujue kuna wenzetu pia walipitia
 
Mi kuna demu mmoja huwa namuota namgegeda mara kwa mara japo siyo mara nyingi lakin sura yake imekua ikijirudia kwenye ndoto kwa siku tofaut tofaut nikimgegeda..
Kinacho nipa hofu hata nikipenda demu mwngine wa mtaani nikimtongoza akinikubalia baada ya hapo nakua naanza kumchukia bila sababu, sitaman kuonana nae hata mawasiliano nae akinitafuta naweza nispokee simu bila sababu.

Yani kwa kifupi napata bahat ya mademu wanao nipenda Sana ila nikiwa kweny mahusiano nakua na hofu na Sina raha kabisaa had niachane nae ndo napata amani.. Kuna mtu nilimshirikisha akaniambia kuwa Hilo ni jini
Hilo ni jini mahaba. Usipofanyia kazi hiyo hali hutakaa use kamwe!
 
Kwenye mambo ya giza ni vigumu kueleweka Labda kama unao Waadithia Waliwahi Kukutana nayo. Hata mm nilikuwa naona ni Kama Hadithi za Abunuasi mpaka yaliponikuta.
Vip lakini yamekwisha au bado unapitia mtihan
 
UJINGA ni mzigo mkubwa Sana mkuu

Umetokewa na mtu mkaongea mkacheka VIZURI tu!ukagundua sio wa kawaida na anakupenda sasa kulikuwa na haja gani kuanzisha ligi naye!!?

Ungekuwa mpole ukaanzisha mahusiano nae halafu ikaanza kumuuliza pole pole ataishi na wewe kwa MUDA gani kwa mipango gani KULIKO kuanzisha ligi za kipumbavu!!

Hakuna jambo linalomtokea mtu bila kupangwa na mungu!

Ungekuwa mpole angekuja kuondoka mwenyewe bila hata shida sasa wewe ukaleta utoto na UJINGA aiseh!!?

Mnaikosea Sana nature Sana Tena!!
 
Back
Top Bottom