let the caged bird sings
JF-Expert Member
- Sep 19, 2020
- 4,179
- 9,750
Si kila kinacho uzwa kinawateja chief moja wapo ni iki anachokiuza huyu jamaa.Kama zinauzwa basi zina wateja wake, Ila inafikirisha sana kukuta zinauzwa mjini.
Kwa vipi nimechanganya? πDaah!! Mkuu umejua kutuchanganyia.
Kachumbari, Soup & Mboga za Majani.
Mimi sikuwai ona zinauzwa tena kwa nyakati kama hizi. Na hata hivyo wauzaji ni kama mimi wana maisha ya kambi popote. Uwezi acha mkeo na wana unaenda uza manati.Wengi huzinunua kama urembo, hata mimi ninayo
Nilizikuta dukani, Marekani. Nikachukua mbili za kwenda kukimbizana na tumbili wadoezi wa matunda yetu Tanga.Leo katika trip zangu za kila siku nimekutana na mtu anauza manati kwa kutembeza.
Ndiyo,kazi ni kazi shida ni yangu ni kwamba kwa nyakati hizi kuna wanunuzi wa hivi vifaa kweli?. Hata uko ancestors times hazikuwai uzwa ilikuwa ni kutengeneza wewe mwenyewe.
Ninaona kabisa omba omba ana uhakika wa kumeki chochote kwa siku kuliko huyu jamaa.
Unaachaje mkeo na watoto nyumbani unaenda kutembeza manati kitaa?.
Nje ya mada. Kilimo cha tikiti na ufugaji wa kwalevinalipa.
View attachment 2221716
Ajabu nini? Hujui manati ni bonge la silaha?Kama zinauzwa basi zina wateja wake, Ila inafikirisha sana kukuta zinauzwa mjini.
Sasa rafiki kama hana wateja atauzaje hizo manati?Labda useme anatembeza.Ila ukweli mimi niliwahi kukuta mtu ananunua Tshs 1,000/=.Si kila kinacho uzwa kinawateja chief moja wapo ni iki anachokiuza huyu jamaa.
Mbaya zaidi kinauzwa town[emoji23]
Yaan ukanunua manati US ukaja nazo tanga?πNilizikuta dukani, Marekani. Nikachukua mbili za kwenda kukimbizana na tumbili wadoezi wa matunda yetu Tanga.
Kama zinalipa unauza tuMimi sikuwai ona zinauzwa tena kwa nyakati kama hizi. Na hata hivyo wauzaji ni kama mimi wana maisha ya kambi popote. Uwezi acha mkeo na wana unaenda uza manati.
Ajabu kwangu si upande wa silaha. Chochote kile ni silaha hata Mavi yanaweza kuwa silaha dhidi ya adui ila hayauzwi.Ajabu nini? Hujui manati ni bonge la silaha?
Ajabu kwangu si upande wa silaha. Chochote kile ni silaha hata Mavi yanaweza kuwa silaha dhidi ya adui ila hayauzwi.
Back then jamaa akazingua kwenye klabu flan cha Gongo klabu kikaacha kukalika na wateja kadhaa wakakimbia bila kulipa. Mwenye klabu akaita polisi jamaa alivyoona polisi akaenda choo jiran na kujipaka Mavi mwili mzima polisi wakamuacha. Sijui ikiwa walimtafuta kwa muda mwingine akiwa kaoga na kubadili pamba zingine, sijui.
ajabu yangu Unaachaje mkeo na watoto nyumbani unaenda kuuza manati? π
Tambua manati ni Siraha ambayo ikitumika vibaya inauwezo wa kuua na ukishitakiwa kwa kosa la kutumia manati ktk shambulizi adhabu yake itakuwa sawa na siraha zingine
Soko lake kwa mjini hutumika sana na walizi especially wa usiku na wachache kutumia nyumbani kama siraha au shambani kwajili ya kuhamia ndege, Ngedele nk lkn pia hii siraha inawatumiaji wachache wenye experience hasa legend kama sisi hawa wa mjini sio rahisi
Mm mwenyewe ni mdau mkubwa wa manati
Nakumbuka wakati ule namiliki gari
Kwenye ile Centre mirror ndani ya gari
Muda wote nlikuwa naninginiza manati
Ova