issac77
JF-Expert Member
- Apr 26, 2013
- 2,985
- 4,883
wanakwambia
wanakwambia
Kosa ulilofanya kuingia kwenye garinimekutana na wale matapeli wa pesa wakazania wataniibia kumbe mm mtoto wa mjini yani nimezaliwa moshi mjini nikasoma mpaka advance nkaja Dar Chuo na ni mtu ambaye ni mtundu sana wa mitandao ya kijamii
Scenario ipo hivi,
Nlikuwa nimesimama kituo cha daladala magomen mwembechai ile sehemu wanapaita kanisani maana kuna kanisa nazani ni la wasabato, akaja mzee akaniuliza Posta ferry ni wap nikamwambia panda daladala za posta kabla cjamaliza Akaja mtu wa pili akanza kumwambia huyu mzeee kwa nn usipande mwendo kasi Mara mzee akatoa pochi inadollar kwa juu i guess ni feki pia akaanza kuniambia anataka kuexchange zipo Dollar 3000.
mimi nimesoma stories nyingi mtandaoni najua kabisa Nkiwa naongea na mtu ambaye simjui naavoid anishike mkono au Bega maana wanatumiaga dawa anavyokushika ana kupossess anakuibia sasa Baada ya yule mzeee kutoa hizo dollar akatwambia tumuonyeshe sehemu pakuexchange atatupa laki mbili na hamsini kila mmoja nkasema oyaaa.
Mara yule jamaaa aliyetukuta akasemaje hata Sheli wanaexchange na ukiangalia hivi kuna sheli mbele yetu , mzee akanisisitiza nsimuache ananiamini , lakini kichwani kitu kinaniambia siunajua kuna matapeli eeeee nkasema wacha niwaangalie watafika wapi. basi tukaenda pale sheli...
Heti tumefika jamaaa akajifanya anapiga simu akamuuliza jamaaa wa kwenye simu upo Wap jamaaa akamwambia nipo hapa , tukakutana na huyo mtu wa pili akiwa kwenye Gari huyo ambaye alipigiwa simu , akaniuliza naitwa nani nkamwambia naitwa XXX nina ukoo wakichaga...
Jamaa akatwambia tuingie kwenye gari twende Sinza tukaexchange nkamwambiaje sinza mbona Mbali Kuna bureau exchange hapo Cha manzese akasema tupande gari basi nikapanda nikasema sikai mbele Hivyo kwenye gari tuwaka watu wanne.
Mara jamaa mwenye gari akashuka akaniambia njoo nje tuongeeee Nkatoka nae tukawa kwa nyuma akanifata akaniambiaje hizi hela nimewaambia ukiexchange ni milion 7 na laki tano ila ni milion 7 na laki sita kwa hyo Tutagawana hyo laki moja Siunajua udalali tena Nikamwambia sawa Nikaavoid yeye kunipa Mkono tukarudi kwenye gari safari ikaanza...
Sasa kwenye gari nyuma nimekaaa mimi na mzee , mzee akaanza kuniaidisia kuwa ana mtoto wake wakike aliyepo Oman ndo Kampa hizo pesa , anaongea huku anatetemeka kiukwel nakuniambia kijana wangu ww ndo nakuamini hapa , mm nipo makini muda huo.
Mara tumefika manzese wakawa wote wawili wananisisitiza kwanza nishike hizo hela za mzeee lakini mzee anasemaje hawaamini hawa watu wa mbele hivyo Tumuachie pesa zetu laki mbili mbili hili zifike milion atugaie dollar zake then niingie kwenye bureau exchange mimi na dereva ... Wale wawili wakasema wanazo so ikawa bado mimi
Huku Mzee wananisisitiza wewe kwenye account milion ngap ili mnipe milion mbili halafu niwape hizi dollar maana siwez kutoa tu bila kupewa chakushika... Mimi nikamwambiaje kwenye benki sina hata mia
Kwahyo hela yake ikiingia haitakutana na hela nyingi maana walianza kusema kwamba pesa zikitolewa niwekewe kwenye account yangu ili Mzee asiibiwe...
Mimi ikawa siongei nkawaambiaje pakini hapo Tiptop ili nitoe hela niwape si wakapaki heti wakawa wananiambiaje pokea pesa zile dollar nkawaambia wacha Mzee azishike...
Nkashuka Nkaanza kucheka nkawaambia wajaribu kwa wengine wakasepa Zao nikaenda chuo
Funzo:
Ukikutana na mtu humjui husimpe Mkono, Kama ni usiku usiongee na mtu humjui Wanatumia Dawa kuibiwa watu, especially anavyoongea na wewe huku anakushika shika mabega anakupoteza unaibiwa kila kitu nina Marafiki na ndugu in ameibiwa kwa hivi halafu pia tusiwe na tamaa na pesa za watu au pesa ya kirahisi.

Mbona alishawajua ni matapeli toka muda kwenye maelezo yake kwa hiyo hata hiyo alikua anajua haipo anachezea muda wake tuuAlikuwa anaitaka 250,000 aliyo ahidiwa
Mimi wakinitokeaga hivyo nawaambiaga kwanza bwekeni kwa sauti kama mbwa.nimekutana na wale matapeli wa pesa wakazania wataniibia kumbe mm mtoto wa mjini yani nimezaliwa moshi mjini nikasoma mpaka advance nkaja Dar Chuo na ni mtu ambaye ni mtundu sana wa mitandao ya kijamii
Scenario ipo hivi,
Nlikuwa nimesimama kituo cha daladala magomen mwembechai ile sehemu wanapaita kanisani maana kuna kanisa nazani ni la wasabato, akaja mzee akaniuliza Posta ferry ni wap nikamwambia panda daladala za posta kabla cjamaliza Akaja mtu wa pili akanza kumwambia huyu mzeee kwa nn usipande mwendo kasi Mara mzee akatoa pochi inadollar kwa juu i guess ni feki pia akaanza kuniambia anataka kuexchange zipo Dollar 3000.
mimi nimesoma stories nyingi mtandaoni najua kabisa Nkiwa naongea na mtu ambaye simjui naavoid anishike mkono au Bega maana wanatumiaga dawa anavyokushika ana kupossess anakuibia sasa Baada ya yule mzeee kutoa hizo dollar akatwambia tumuonyeshe sehemu pakuexchange atatupa laki mbili na hamsini kila mmoja nkasema oyaaa.
Mara yule jamaaa aliyetukuta akasemaje hata Sheli wanaexchange na ukiangalia hivi kuna sheli mbele yetu , mzee akanisisitiza nsimuache ananiamini , lakini kichwani kitu kinaniambia siunajua kuna matapeli eeeee nkasema wacha niwaangalie watafika wapi. basi tukaenda pale sheli...
Heti tumefika jamaaa akajifanya anapiga simu akamuuliza jamaaa wa kwenye simu upo Wap jamaaa akamwambia nipo hapa , tukakutana na huyo mtu wa pili akiwa kwenye Gari huyo ambaye alipigiwa simu , akaniuliza naitwa nani nkamwambia naitwa XXX nina ukoo wakichaga...
Jamaa akatwambia tuingie kwenye gari twende Sinza tukaexchange nkamwambiaje sinza mbona Mbali Kuna bureau exchange hapo Cha manzese akasema tupande gari basi nikapanda nikasema sikai mbele Hivyo kwenye gari tuwaka watu wanne.
Mara jamaa mwenye gari akashuka akaniambia njoo nje tuongeeee Nkatoka nae tukawa kwa nyuma akanifata akaniambiaje hizi hela nimewaambia ukiexchange ni milion 7 na laki tano ila ni milion 7 na laki sita kwa hyo Tutagawana hyo laki moja Siunajua udalali tena Nikamwambia sawa Nikaavoid yeye kunipa Mkono tukarudi kwenye gari safari ikaanza...
Sasa kwenye gari nyuma nimekaaa mimi na mzee , mzee akaanza kuniaidisia kuwa ana mtoto wake wakike aliyepo Oman ndo Kampa hizo pesa , anaongea huku anatetemeka kiukwel nakuniambia kijana wangu ww ndo nakuamini hapa , mm nipo makini muda huo.
Mara tumefika manzese wakawa wote wawili wananisisitiza kwanza nishike hizo hela za mzeee lakini mzee anasemaje hawaamini hawa watu wa mbele hivyo Tumuachie pesa zetu laki mbili mbili hili zifike milion atugaie dollar zake then niingie kwenye bureau exchange mimi na dereva ... Wale wawili wakasema wanazo so ikawa bado mimi
Huku Mzee wananisisitiza wewe kwenye account milion ngap ili mnipe milion mbili halafu niwape hizi dollar maana siwez kutoa tu bila kupewa chakushika... Mimi nikamwambiaje kwenye benki sina hata mia
Kwahyo hela yake ikiingia haitakutana na hela nyingi maana walianza kusema kwamba pesa zikitolewa niwekewe kwenye account yangu ili Mzee asiibiwe...
Mimi ikawa siongei nkawaambiaje pakini hapo Tiptop ili nitoe hela niwape si wakapaki heti wakawa wananiambiaje pokea pesa zile dollar nkawaambia wacha Mzee azishike...
Nkashuka Nkaanza kucheka nkawaambia wajaribu kwa wengine wakasepa Zao nikaenda chuo
Funzo:
Ukikutana na mtu humjui husimpe Mkono, Kama ni usiku usiongee na mtu humjui Wanatumia Dawa kuibiwa watu, especially anavyoongea na wewe huku anakushika shika mabega anakupoteza unaibiwa kila kitu nina Marafiki na ndugu in ameibiwa kwa hivi halafu pia tusiwe na tamaa na pesa za watu au pesa ya kirahisi.
Pole sana na hongera kwa kufanikiwa kutoka salama. Ila next time usifanye kosa la kupanda gari la watu uliotilia shaka kuwa ni matapeli.nimekutana na wale matapeli wa pesa wakazania wataniibia kumbe mm mtoto wa mjini yani nimezaliwa moshi mjini nikasoma mpaka advance nkaja Dar Chuo na ni mtu ambaye ni mtundu sana wa mitandao ya kijamii
Scenario ipo hivi,
Nlikuwa nimesimama kituo cha daladala magomen mwembechai ile sehemu wanapaita kanisani maana kuna kanisa nazani ni la wasabato, akaja mzee akaniuliza Posta ferry ni wap nikamwambia panda daladala za posta kabla cjamaliza Akaja mtu wa pili akanza kumwambia huyu mzeee kwa nn usipande mwendo kasi Mara mzee akatoa pochi inadollar kwa juu i guess ni feki pia akaanza kuniambia anataka kuexchange zipo Dollar 3000.
mimi nimesoma stories nyingi mtandaoni najua kabisa Nkiwa naongea na mtu ambaye simjui naavoid anishike mkono au Bega maana wanatumiaga dawa anavyokushika ana kupossess anakuibia sasa Baada ya yule mzeee kutoa hizo dollar akatwambia tumuonyeshe sehemu pakuexchange atatupa laki mbili na hamsini kila mmoja nkasema oyaaa.
Mara yule jamaaa aliyetukuta akasemaje hata Sheli wanaexchange na ukiangalia hivi kuna sheli mbele yetu , mzee akanisisitiza nsimuache ananiamini , lakini kichwani kitu kinaniambia siunajua kuna matapeli eeeee nkasema wacha niwaangalie watafika wapi. basi tukaenda pale sheli...
Heti tumefika jamaaa akajifanya anapiga simu akamuuliza jamaaa wa kwenye simu upo Wap jamaaa akamwambia nipo hapa , tukakutana na huyo mtu wa pili akiwa kwenye Gari huyo ambaye alipigiwa simu , akaniuliza naitwa nani nkamwambia naitwa XXX nina ukoo wakichaga...
Jamaa akatwambia tuingie kwenye gari twende Sinza tukaexchange nkamwambiaje sinza mbona Mbali Kuna bureau exchange hapo Cha manzese akasema tupande gari basi nikapanda nikasema sikai mbele Hivyo kwenye gari tuwaka watu wanne.
Mara jamaa mwenye gari akashuka akaniambia njoo nje tuongeeee Nkatoka nae tukawa kwa nyuma akanifata akaniambiaje hizi hela nimewaambia ukiexchange ni milion 7 na laki tano ila ni milion 7 na laki sita kwa hyo Tutagawana hyo laki moja Siunajua udalali tena Nikamwambia sawa Nikaavoid yeye kunipa Mkono tukarudi kwenye gari safari ikaanza...
Sasa kwenye gari nyuma nimekaaa mimi na mzee , mzee akaanza kuniaidisia kuwa ana mtoto wake wakike aliyepo Oman ndo Kampa hizo pesa , anaongea huku anatetemeka kiukwel nakuniambia kijana wangu ww ndo nakuamini hapa , mm nipo makini muda huo.
Mara tumefika manzese wakawa wote wawili wananisisitiza kwanza nishike hizo hela za mzeee lakini mzee anasemaje hawaamini hawa watu wa mbele hivyo Tumuachie pesa zetu laki mbili mbili hili zifike milion atugaie dollar zake then niingie kwenye bureau exchange mimi na dereva ... Wale wawili wakasema wanazo so ikawa bado mimi
Huku Mzee wananisisitiza wewe kwenye account milion ngap ili mnipe milion mbili halafu niwape hizi dollar maana siwez kutoa tu bila kupewa chakushika... Mimi nikamwambiaje kwenye benki sina hata mia
Kwahyo hela yake ikiingia haitakutana na hela nyingi maana walianza kusema kwamba pesa zikitolewa niwekewe kwenye account yangu ili Mzee asiibiwe...
Mimi ikawa siongei nkawaambiaje pakini hapo Tiptop ili nitoe hela niwape si wakapaki heti wakawa wananiambiaje pokea pesa zile dollar nkawaambia wacha Mzee azishike...
Nkashuka Nkaanza kucheka nkawaambia wajaribu kwa wengine wakasepa Zao nikaenda chuo
Funzo:
Ukikutana na mtu humjui husimpe Mkono, Kama ni usiku usiongee na mtu humjui Wanatumia Dawa kuibiwa watu, especially anavyoongea na wewe huku anakushika shika mabega anakupoteza unaibiwa kila kitu nina Marafiki na ndugu in ameibiwa kwa hivi halafu pia tusiwe na tamaa na pesa za watu au pesa ya kirahisi.
Mwambie kwamba wanaotapeliwa mjini ni wajanja siku zote, wajinga hawatapeliwi mjini hata siku moja. Hata yeye angekuwa tapeli asingeangaika na wajinga maaana hawa la maana zaidi ya ujinga waoMpaka wanakubeba mpaka sijui manzese Mara sijui sinza jua tu ilikuwa Bahati yako kama wasingekuwa not only matapeli but also wafiraji means wangekufira maana wangekupulizia hata dawa ya usingizi uokotwe kunduchi beach
SOMO: HAKUNA MJANJA KILA MJANJA ANA MJANJA WAKE USIKUBALI KABISA KUJARIBU SUMU KWA KULAMBA
Mjanja anapeliwa vip?Mwambie kwamba wanaotapeliwa mjini ni wajanja siku zote, wajinga hawatapeliwi mjini hata siku moja. Hata yeye angekuwa tapeli asingeangaika na wajinga maaana hawa la maana zaidi ya ujinga wao
Hahaaanimekutana na wale matapeli wa pesa wakazania wataniibia kumbe mm mtoto wa mjini yani nimezaliwa moshi mjini nikasoma mpaka advance nkaja Dar Chuo na ni mtu ambaye ni mtundu sana wa mitandao ya kijamii
Scenario ipo hivi,
Nlikuwa nimesimama kituo cha daladala magomen mwembechai ile sehemu wanapaita kanisani maana kuna kanisa nazani ni la wasabato, akaja mzee akaniuliza Posta ferry ni wap nikamwambia panda daladala za posta kabla cjamaliza Akaja mtu wa pili akanza kumwambia huyu mzeee kwa nn usipande mwendo kasi Mara mzee akatoa pochi inadollar kwa juu i guess ni feki pia akaanza kuniambia anataka kuexchange zipo Dollar 3000.
mimi nimesoma stories nyingi mtandaoni najua kabisa Nkiwa naongea na mtu ambaye simjui naavoid anishike mkono au Bega maana wanatumiaga dawa anavyokushika ana kupossess anakuibia sasa Baada ya yule mzeee kutoa hizo dollar akatwambia tumuonyeshe sehemu pakuexchange atatupa laki mbili na hamsini kila mmoja nkasema oyaaa.
Mara yule jamaaa aliyetukuta akasemaje hata Sheli wanaexchange na ukiangalia hivi kuna sheli mbele yetu , mzee akanisisitiza nsimuache ananiamini , lakini kichwani kitu kinaniambia siunajua kuna matapeli eeeee nkasema wacha niwaangalie watafika wapi. basi tukaenda pale sheli...
Heti tumefika jamaaa akajifanya anapiga simu akamuuliza jamaaa wa kwenye simu upo Wap jamaaa akamwambia nipo hapa , tukakutana na huyo mtu wa pili akiwa kwenye Gari huyo ambaye alipigiwa simu , akaniuliza naitwa nani nkamwambia naitwa XXX nina ukoo wakichaga...
Jamaa akatwambia tuingie kwenye gari twende Sinza tukaexchange nkamwambiaje sinza mbona Mbali Kuna bureau exchange hapo Cha manzese akasema tupande gari basi nikapanda nikasema sikai mbele Hivyo kwenye gari tuwaka watu wanne.
Mara jamaa mwenye gari akashuka akaniambia njoo nje tuongeeee Nkatoka nae tukawa kwa nyuma akanifata akaniambiaje hizi hela nimewaambia ukiexchange ni milion 7 na laki tano ila ni milion 7 na laki sita kwa hyo Tutagawana hyo laki moja Siunajua udalali tena Nikamwambia sawa Nikaavoid yeye kunipa Mkono tukarudi kwenye gari safari ikaanza...
Sasa kwenye gari nyuma nimekaaa mimi na mzee , mzee akaanza kuniaidisia kuwa ana mtoto wake wakike aliyepo Oman ndo Kampa hizo pesa , anaongea huku anatetemeka kiukwel nakuniambia kijana wangu ww ndo nakuamini hapa , mm nipo makini muda huo.
Mara tumefika manzese wakawa wote wawili wananisisitiza kwanza nishike hizo hela za mzeee lakini mzee anasemaje hawaamini hawa watu wa mbele hivyo Tumuachie pesa zetu laki mbili mbili hili zifike milion atugaie dollar zake then niingie kwenye bureau exchange mimi na dereva ... Wale wawili wakasema wanazo so ikawa bado mimi
Huku Mzee wananisisitiza wewe kwenye account milion ngap ili mnipe milion mbili halafu niwape hizi dollar maana siwez kutoa tu bila kupewa chakushika... Mimi nikamwambiaje kwenye benki sina hata mia
Kwahyo hela yake ikiingia haitakutana na hela nyingi maana walianza kusema kwamba pesa zikitolewa niwekewe kwenye account yangu ili Mzee asiibiwe...
Mimi ikawa siongei nkawaambiaje pakini hapo Tiptop ili nitoe hela niwape si wakapaki heti wakawa wananiambiaje pokea pesa zile dollar nkawaambia wacha Mzee azishike...
Nkashuka Nkaanza kucheka nkawaambia wajaribu kwa wengine wakasepa Zao nikaenda chuo
Funzo:
Ukikutana na mtu humjui husimpe Mkono, Kama ni usiku usiongee na mtu humjui Wanatumia Dawa kuibiwa watu, especially anavyoongea na wewe huku anakushika shika mabega anakupoteza unaibiwa kila kitu nina Marafiki na ndugu in ameibiwa kwa hivi halafu pia tusiwe na tamaa na pesa za watu au pesa ya kirahisi.
hahahaaaaa we jamaaaaMpaka wanakubeba mpaka sijui manzese Mara sijui sinza jua tu ilikuwa Bahati yako kama wasingekuwa not only matapeli but also wafiraji means wangekufira maana wangekupulizia hata dawa ya usingizi uokotwe kunduchi beach
SOMO: HAKUNA MJANJA KILA MJANJA ANA MJANJA WAKE USIKUBALI KABISA KUJARIBU SUMU KWA KULAMBA
hahahaaaaaMimi wakinitokeaga hivyo nawaambiaga kwanza bwekeni kwa sauti kama mbwa.
Bado wanazubaa zubaa nakushanga nawapigia ile charter yangu.
Mbrrr mbrrrr mbrrrr mbrr nakusepa.
adriz gammaparticles
mjinga huwa ni muoga , mjanja hujifanya ujuaji na kujiamin kwingiMjanja anapeliwa vip?
Mjinga ajui maana, mjinga aelewi....
Ukitapeliwa we ni mjinga wa mjanja....
Kutapeliwa ni kuendekeza tamaa za kijinga