Nimekutana na malaika

Status
Not open for further replies.
Acha porojo wewe. Ana chura?
 
Dah umejitetea kweli.. okay tumewaelewa
Bado tupo wengi sanaaaa, kuomba pesa haimaanishi hatuwapendi jamani. Ni shida tu ndio hazina adabu, mtuvumilie tu na mzidi kutupatia pesa. Tunawapenda sana na mbarikiwe kila mtoapo. Amen.
 
Mwanaume kuelezea hisia zake kiasi hiki ni awe ameguswa haswa kwa ulivyojitanabaisha kua ni mgongaji msepaji. Natumaini haujakosea, na nakutakia kila la heri.

One more thing ulimpata mitaa gani na mimi nikashinde huko? Uanaume ni kusaidiana
 
Haha siwezi kumkaribisha labda aje na Id nyingine. Kama hana Id nyingine ya zamani basi hana bahati maana Id za kuanzia 2015 pm kwangu hazikaribishwi
Kwa ninavyomjua hearly kwa hii post mpe siku mbili akatafute ugomvi na shemeji kisha aanze kushinda pm kwako
 
Ngoja kwanza niwe mpenzi mtazamaji kabla sijamkatisha mwanaume mwenzangu tamaa
 
"Hakuna Mungu"
"Nimekutana na Malaika"
Duniani kuna watu wa ajabu sana.
Anyway ongera Mkuu.
 
Huu uzi bila namba ya simu ya huyo binti ni batili. Mods sukuma ndani huyu mtu.
 
@Mzigua90 pita hapa ujue wapi umefeli kuniweka kwenye angle yako...!
 
Wanafikiri tunapoomba ni kazi ndogo, tumejitoa kweli. Wasioomba wanaugulia tu kimya kimya ila wanataka na ukiwapa hawakatai. Hivyo wawe wanajiongeza tu.
Kabisaa Lazima ujikaze kikike[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ....wanaume Hampendi kuombwa pesa ila papuchi mnataka mfyuuuu
 
Umeona mwenzio amesema haombwi hela anajiongeza!? hapo ndipo ulipofeli boo. Anza kunipa uone kama nitaendelea kukuomba. Halafu si unaona huyo wifi kajitosheleza kiuchumi?? Mi bado hivyo vinginw unisaidie tu. Kodi najua huwezi kunilipia basi hata salon baba.
@Mzigua90 pita hapa ujue wapi umefeli kuniweka kwenye angle yako...!
 
Ukikutana na malaika usimwache tafadhali.
Mng'ang'anie mpaka akupe baraka zake.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…