Usaidizi " hauna mipaka " kama unapenda kupewa pesa sio mbaya " lakini yakupasa ujiongeze angalau hata uchangie kuleta mawazo chanya yatakayo saidia ongezeko la pesa " ...sio kuomba tu then ukishapewa " huna mchango mwingine wowote hata waki mawazo tija yatakayo weza kuwasaidia kuinuka zaidi ..... huyu Mtu wa namna hii simujitaji
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nakuja.piem
Asante J cole " habari aisee
Namimi nije !!?Bado tu haujafika!!
Unasema kweli mkuu " sio sifa njema " ni vile tu ujana huwa unatuzidi nguvuPoa sana Mkuu nimefurahi sana Kamanda umepata pa kupoa kuchovya Chovya sio ishu kabisa
Wo equationsDuh! Aina gani ya equation mkuu?
Namimi nije !!?
Swali hili niulize pmHahahaaa!! Unakuja kufanya nini sasa![emoji23][emoji23][emoji23]
Swali hili niulize pm
Hahaa " bila shaka umenielewa uzuri kabisaWacha bwana!
Serious problem indeed. Naomba nizibe pengo [emoji39]Limegoma kabisaaa kuzibika dear, sijui hata tatizo ni nini!!!
Asante chief " .... nashukuru sana " lakini mimi sijaorodhosha suala la pesa pekee tu " kuwa ndio kigezo nilicho kitazama kwake " kama umeusoma vyema huo uzi " utabaini kwamba nimegusia nyanja mbali mbali " zinazohusiana na maadili chanya "... mwanamke hata kama hakuombi pesa lakini " anashindwa kuonyesha uadilifu katika mambo mengine let say " hakupi shukurani " hakujali " hakuheshimu "etc " niwazi utaona kwamba huko kutokupenda kwake pesa _ hakuna mantiki yoyote bila ya uwepo wa hizo tabia " (hapa yaweza kuwa hapendi pesa kwa kuwa Anazo za kutosha so hababaikii pesa Either hana lakini hatambui umuhimu wake(pesa) ipaswavyo )Kila lakheri mkuu wangu. Mpende sana na hiyo ndio zawadi ya kipekee aliyokupatia mwenyezi Mungu.
Ila nakuhasa Kwa ufupi sana mkuu. "Mwanamke kuto kukuomba pesa sio kigezo pekee cha kudhihilisha Upendo kwako. Mchunguze kwa kina weka mikakati sawa sawa ukiwa nae iwe hadharani ama faragha"
.🍺Bado tu haujafika!!
Umesema vyema " .... yote hayo na yazingatia " ndio maana kuna sehemu katika uzi inajieleza kwamba sometimes huwa najiongeza mwenyewe hata nisipo ombwa " .....Unadhani wewe ni mtu sahihi kwake...?
Kuhonga ni dhana pana sana, Usijiliwaze kwa kujiona uhongi pesa, si wanawake woke wanahitaji pesa wengine wanahitaji muda wako tu, je! Uko tayari kuhonga muda wako ili umfurahishe mwanamke?
Mwanamke yyte ili udum kua nae na yeye afurahie kua na wewe ni lazima umpe 'Security.
Matumizi ya pesa ktk mahusiano ni jambo lisilo kwepeka unaweza usitoe direct ila ukatoa indirect.
.[emoji481]
Serious problem indeed. Naomba nizibe pengo [emoji39]
Uko vizuri Mkuu, ila wanawake wa aina hii huwa wanaudhaif flan wa ndani, sometimes inaweza pelekea kua out of mood, kitu muhim ni kujitahid kua mvumilivu juu yake na kulazimika kufanana nae ktk baadhi ya mambo ila mwende sawa.Umesema vyema " .... yote hayo na yazingatia " ndio maana kuna sehemu katika uzi inajieleza kwamba sometimes huwa najiongeza mwenyewe hata nisipo ombwa " .....
We good !!?