Kwanza niseme kwamba nimevamia kambi ambayo mimi si mpenzi kuandika hoja labda kusoma tu.
Lakini leo mchana nimesafari na binti mmoja katika gari moja la binafsi, baada ya kuwapatia lifti akiwa na kaka mmoja. Walikuwa na chupa 2 za Konyagi kubwa, maji chupa mbili kubwa.
Mjadala katika gari ikawa mahusiano, yule binti hakika aliyokuwa akisema hakika ni sawa kwa asiimia 100 na hoja zalara 1 wa JamiiForums.
Huyu dada alivyokuwa amevaa, anaongelea saloon, kucha zake, tabia ya wanaume na mwanaume anavyotaka kuwa, akiongelea mijadala ya Jamii Forums n.k. Hakika ndiye huyu.
Alisema anaelekea katika Birthday ya rafiki yake, lakini katika maelezo yake amesema ana mume, na nyumbani mumewe ndiye hupika na humpatia offer ya kwenda disco kujirusha, na mambo mengine nisiyoweza andika hapa. Kama siyo, basi kumbe anayoandika huyo dada yapo kwa kiasi kikubwa.
lara
lara 1 nioneshe anayekuchukia, nahisi huyo atakuwa ana matatizo yake. Sio siri lara 1 ni kati ya members kadhaa naowazimikia sana humu Jamii Forums. Japokuwa wapo wengi naowazimia na kuheshimu style zao.leo nimeamua kukutaja wewe.Jamaa alivyosema huyo mdada walikuwa wamebeba mizinga miwili ya Konyagi mikubwa nikajua sio wewe.
Rayd
Kesi inaendelea mkuu, baba yake amegoma kabisa kumchukua mke wangu,anadai nilimuabisha mno kusema ametajirika nakupata kitambi kwa sababu ya mahari zangu.