Nimekutana na Jini?

u
My dear polee na wala usiwe na hofu siwezi kukudhuru, nilitaka kukupa sapraiz tu kuwa nipo na

nakuona kila
utakapokwenda[/

QUOTE]
hahaha sasa utamuua mazima
 
Wewe ni muumini mzuri tu wa mambo hayo ila wewe mwenyewe ndiyo hujijui, asiamini hawezi linganisha tukio la paka na kuwa binadamu uliemuona mbele ya safari. Kumbuka umeeleza ulikua kasi kwenye gari, iweje uweze kumsoma mtu usoni mpaka macho yagongane, wakati ulikuwa unaendesha kasi.
 
Haya mjuaji, ni hivi alipotokea paka nilipunguza mwendo wakati namkwepa. Halafu huyo mwanamke nilimuona mita kumi mbele au ndio mbele ya safari hio?
 
We unakunywa konyagi unachanganya na safari then una drive kwanin usione jini kwa barabara.
 

MKUU hata mimi nimejiuliza swali hilo! Reading between the lines nafikiri stori hii inebuniwa/tungwa I might be wrong though.
 
pole ushauri wangu jitahidi usiwe unakimbiza gari wakati umelewa
sio vizuri bado tunakuhitaji
 
Haya mjuaji, ni hivi alipotokea paka nilipunguza mwendo wakati namkwepa. Halafu huyo mwanamke nilimuona mita kumi mbele au ndio mbele ya safari hio?
Wewe umekereka maelezo yangu tu.
 
Ha ha haaaa.. Unaijua nauli ya kutoka dar hadi katavi? Half Katavi ni mlisha mifugo nyumbani kwa Pinda kule Mpanda so ticket ya ndege kwa duu kama wewe haezi gharamikia. Unless ujitolee kwa kila kitu
Tuachane na huyo bwana ana stress za maisha tuu..... ila wajua Katavi mie nakuzimikia ile mbayaa hasa hayo masikio yako yananikonga moyo sijuwi nifanyaje
 
Kuna rafiki yangu aliwai kunisimulia kukutana na kitu kinachofanana sana na hicho na sikuwa na sababu ya kutokumuamini, kwa jinsi ninavyomfahamu.

Mimi siku niliyokanyaga paka tu nilijisikia vibaya sana hata kula sikuweza usiku ule. Huyo paka alijichanganya mwenyewe katikati ya tairi la mbele na la nyuma. Thread ya jamaa imenikumbusha exactly yule paka alivyokuwa akitaka kucross barabara...
R.I.P paka
 
ilikuwa maeneo gani mkuu?
 
Bado sijaweza kuamini katika haya mambo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…