BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,341
Katika pitapita zangu za baadhi ya thread humu MMU, nimekutana na huu ujumbe mzito kwenye moja ya comments tena kutoka kwa mwanamke.
Huo ujumbe ni kama ifuatavyo:::-
My take :
Wanawake ifikie time tuwe tunaheshinu wale wanaoamua kutuonyesha hisia zao na kutupenda kwa dhati ila tatizo letu mtu akikupenda unajiona wewe ndio kila kitu na kumfanyia kila aina ya ujinga ukiamini hawezi kukuacha ila baadae mambo yakibadirika unaanza mtafuta mchawi ila siku atakapokutana na anaeijua thamani ya mwanamke usitarajie kama atarudi kwako kila binadamu anapenda amani ya moyo hakuna anaependa maisha ya stress......".