Nimekutana Live na GWAJIMA..kwenye daladala...!

Sadlady

Member
Joined
Apr 8, 2014
Posts
21
Reaction score
10
Labda inaweza kuwa sio habari ila kwangu Sadlady it was a great day, noted.. Nikiwa kwenye DCM natokea zangu Temeke kwenda makumbusho, sikumbuki kituo gani alipandia ila nakumbuka alikuwepo abiria pembeni yangu, aliposhuka ndipo akakaa kijana mmoja. sikuwa na time na mtu yeyote kwa sababu mambo yangu bado yana mixmix, siko poa kabisa wala sifeel kuongea na kiumbe yeyote. akanisalimia nikamjibu shot poa, mkononi nilishika gazeti ambalo sikujisikia poa kulisoma na lilikuwa na taarifa zake kwa juu. akaniomba asome gazeti , ilinikera hali ile nikamtazama usoni kwa ghadhabu na kumtupia gazeti, sikujua ni nani na sikutaka mtu anisumbue that time.

akaniuliza unamjua huyu wanaye mwandika mwandika, nikamjibu simjui na nikaongea maneno mabaya kuhusu mambo ya dini naomba nisiyaandike. ila huyo kijana alionekana mpole, ana suti yenye kibezi nzito sana, akiongea niliona kama moyo wangu unalipuka flan, sikupendelea aendelee kuongea, nikamtazama kavaa shati na sendoz wa kawaida, nikajua huyu anataka kunipigia kelele tu. basi kwa sauti yake akaniambia kusomasoma habari hizi kunaharibu ubongo wa mtu ni aheri ungekuwa na biblia ukajisomea. alipoongelea mambo ya dfini hapo alinikera zaidi eti mie niokoke.

mambo yalibadilika alipo ingia bibi mmoja, akainuka akimwomba yule bibi akae kwenye siti yake kwa sababu ya umri. bahati mbaya yule bibi akamtambua. akapiga makelele Ooooo! Baba Gwajima..! OOO baba yangu, akapiga magoti yule bibi basi basi zima likatifuka, kila mtu akitaka kumwona huyo Gwajima, Konda akafanya kazi kubwa kuwatuliza watu waliokuwa na shauku ya kumwona Live mtu huyo, DCM likasimama pembeni ya Barabara, akashuka kumbe alikuwa na Kundi la vipande vya wanaume wamevalia suti nyeusi na miwani na vyombo flan masikioni kana sita au nani ivi. mie sikujua kumbe walikuwa wamemzunguka. kuna magari mawili yalikuwa yakifuata kwa nyuma wakaingia ndani ya magari hayo na kutokomea. he nilishangaa sana. he Kumbe huyu ndiye Gwajima, maskini mdogo, mpole, huwezi hata jua. amevaa kawida kabisa. mbele ya wale mababa waliomzunguka alionekana mdogo sana. he kumbe anapandaga daladala zetu, aisee!

basi yule mbibi ndio akawa kama amefungiwa mota, akaanza kutuhubiria humo ndani, mie hata sikumsikia,he kumbe nilikuwa nimekaa na Gwajima!! ajabu sana, watu wakawa wananiuliza alikwambiaje..?.. sadlady mie, leo nimekutana na huyu mtu, aisee, ningembana nikachukua mawasiliano faster, aisee!! ningejua!!bahati haiji mara moja, kama kuna mtu anajua anapopatikana au kanisani kwake mie nataka ani-pm ili niende siku ya ibaada labda nitamwona, labda atanikumbuka, labda ndio itakuwa mwisho wa matatizo yangu jamani..
 
Unataka mkeo naye achukuliwe na wewe ule kesi ya kibabu seya .chukua tahadhari dogo
 
Mwisho wa matatizo yako kivipi mkuu embu fafanua..
 
Upuuuzzziii mtupu!!!!!!!!!!! Hii nayo habari. Mchungaji mtikila kila leo anapanda bajaj
 
b.wege sana w.e.w.e.....dhiki zako utaliwa jicho shauri yako. shetan.i anambinu nyingi
 
ni kweli, ni mtu mpole aliye jishusha sana, yeye hata pikipiki anaendesha na kupanda. haringii alivyonavyo. simfagilii but hivyo ndivyo alivyo. mie nilikutana nae kunduchi akiwa na familia nakumbuka was mwaka huu mwanzoni, tukaongea kama freely kabisa, akaongea na mie mambo ya dini na kuokoka nikajifanya mjuaji sana, baadae alipo ondoka nikashangaa kundi la watu likmfuata. nilipo peleleza kumbe ni gwajima. siku moja nikafika kawe nimsikilize mwenyewe. nilipo msikia sikutoka kawe, ndio nimebaki hapa na kila niliye mleta akasikia mahubiri haya hakuwahi kutoka. nakushauri na wewe bora usije kawe, ukija ukamsikia akihubiri huyu mtu, na miujiza inayo tendeka hapa huwezi kutoka hata uwe nani..!
 
braza ulikuwa unaota nini? jamaa kanunua helicopta ww unazungumzia daladala
ingekuwa poa kama ungemuuliza frola Mbash.... kamficha wapi?

alafu unapanda daladala huku kuna eskot ya gari mbili ndo unakuwa umefanya nini? mtoa mada alikuwa ndotoni bila shaka
 
kama kuna mtu anajua anapopatikana au kanisani kwake mie nataka ani-pm ili niende siku ya ibaada labda nitamwona, labda atanikumbuka, labda ndio itakuwa mwisho wa matatizo yangu jamani..

Kwani wewe ni msukule unaohitaji kufufuliwa?
 
b.wege sana w.e.w.e.....dhiki zako utaliwa jicho shauri yako. shetan.i anambinu nyingi

umenipunguzia cheo bwana wewe, usiniite ----- tu bali pia mjinga, punguani, mwehu, kichaaa tena saka saka jina jingine baya zaidi nibatize nalo ila poa tu, yote kwa yote i dont care, what i need is ma problems to end. and whoever shall fix them to whatever dimension mie poa tu.. just show me the direction NITAKWENDA..! AH TODAY WAS MA DAY AISEE.. SIKU USIYO DHANI.. hata angeniombea tu ndani ya Gari lile inatosha!!. sijui nina mashetani mbona alipo kuwa akiongea nami moyo wangu ulidundadunda sana.. lakini feel nimwone tu whatever cost it take..!
 
Kwani wewe ni msukule unaohitaji kufufuliwa?

sure may be i am msukule, so i need kufufuliwa niwe free. i need freedom, i need to be freeeee.. i need ma problems to end..! thats all.. nizodoeni but mni-pm anapatikanaje na wapi please!!
 
naona mmekuja kimkakati kumtetea mzee wama-helcopitazzzz!!
 
thanks TAMKO , thanks for your pm. Regards.. Mods ifungeni tu sred nimeshapata nilichokuwa natafuta, sina muda na vijiwe vya miwatu mivivu yenye wivu, ishindwe na ilegee huko. inaropoka tu mitandaoni, shida zimewabamiza nafuu hata zangu, wivu ndio usiseme, ukiwafuatilia sanasana utaganda. ila siwalaumu sana best zangu hata mie nilivyo ganda kwa taabu na shida nilipo sikia mtu anatanua na chopaa kiliniuma sana na i real spat bad words to this poor fellow, ndio tullioshindwa tulivyo. but sijui nini i fell kumpenda tu huyu baba. mpole mtaratibu, kavaa casually kabisa. i hope kuna kitu sijui. nahisi kama a door to ma problems is closer now. sina shida na pesa tatizo pesa zinamomonyoka kila nikizipata kama mafuriko flan, mauzauza flan hayaishagi. mtu silali usiku fresh. shida gani hizi.. the way hi spoke to me i hope something.. i realy Hope something jaman shall happen to me.. i cant resist this feelings. .!
 
sure may be i am msukule, so i need kufufuliwa niwe free. i need freedom, i need to be freeeee.. i need ma problems to end..! thats all.. nizodoeni but mni-pm anapatikanaje na wapi please!!
Umeanza kwa kujifanya wewe na dini mbali mbali, taratibu lugha yako ikabadirika na kuwa ile ya WAKEMEA MAPEPO! baadae ukaonekana wazi jinsi ulivyo MKUU WA KITENGO CHA PROPAGANDA CHA NABII GWAJIMA! Hiyo sanaa ya kujibadirisha muachie JOTI wewe endelea kutumik@ madhabauni kwa huyo anayekulipa.
 
Sadlady hongera sana kwa uamuzi Wako. Just one thing, MUNGU yupo hata hapa jukwaani, repent and you will be saved! MUNGU ndie kiongozi na Mponya wetu, si binadamu. Alaaniwe yeye amtumainiye na kumfanya mwanadamu kuwa tumaini lake.
 
Last edited by a moderator:
Taifa hili linawatu wa ajabu kweli kuonana na gwajima kwenye gari nayo kweli ni mada au ishu ya mvuto sana mpaka ikusukume kuleta hapa jukwaani.
 
Back
Top Bottom