Nimekuta mahali imenigusa sana!

Nadhani wewe ndio umekuwa Mbaguzi kwa sababu
Kwanza badala ya kuangalia msiba kama msiba ukaanza kujitengenezea Daftari la Mahudhurio
Pili katika hilo hilo Daftari la Mahudhurio ukaanza kuweka watu kulingana na rangi huo ni udhaifu mkubwa ULIO NAO WEWE sio kina Moo. Hayo huwa tunayaita Maradhi ya Nafsi ni Mabaya sana na ni vigumu kutibika kama utaendelea kuendekeza nafsi
 
Labda nikusaidie taarifa ambayo hukuifahamu, katika msiba wa Reg Mengi walikuwepo watanzania aina ya Dweji yaani wahindi, waarabu na wazungu. Wengi wao wakiwa wafanyakazi wa makampuni yake, napendekeza ukafuatilia chart ya uongozi wa makampuni ya IPP utaona inaongozwa na mhindi kama (CEO). Pia walikuwepo wafanyabiashara wenzie mf Subash Patel, Muzrah, Mzee Azim Dweji (msemaji wa familia ya Dweji) nk. Nahisi pia angekuwa hai Andy Chande angeweza kufika msibani pia maana alikuwa rafiki wa Mengi tangu miaka hiyo. Kwahiyo hawa watu wana ushirikiano mzuri na sio maswala ya misiba tu. Pengine kwa nyadhifa zao kimajukumu hupeleka wawakilishi.
 
Huyu ni mfanya biashara mkubwa na muda mwingi wafanyabiashara wakubwa hawakai eneo moja unaweza kukuta matukio yanapotokea anakuwa nje ya nchi kwenye biashara zake, msihukumu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom